Habari zenu,
Leo nikiwa kwenye foleni ya kwenda kujiandikisha ili kupata kitambulisho kitakachoniwezesha kupiga kura, nyuma ya foleni kulikua na wadada watatu wakipiga story za mapenzi. Mmojawapo akafunguka kuwa kuna mkaka alikutana nae, amefungasha Shanga za kutosha kiunoni, hii hatareeee.
Tena katika maelezo yake akasema hajawi kukutana na mtoto wa kiume alievaa shanga na kumpagawisha, akasema ni wazi shanga akivaa mwanaume/ mtoto wa kike, lazima uchanganyikiwe, uchanganyikiwe na nini jiongeze mwenyewe.
Haya, nyie wadada hebu mtuambie, sasa ndo mambo ya kitehama hayo?