Mwanaume kuvaa shanga/cheni kiunoni ina maana gani?

Kwanza wewe ulijuaje au unapiga chabo wakiwa kwenye kitchen party
 
Wewe si kila anayevaa suruali ni mwanaume halaa
 
Wengine kawaida, ukijipendeza kusema choko anakula wewe kiulaini
 
Si vibaya ila anayo maana yake kuvaa shanga.

Kwani waliotobia pua na masiko,

Kupaka rangi kucha na make-up hamjawaona.
 
Kuna msanii naye alishawahi kuonekana kwenye Television akiwa na shanga nyeupe nadhani pia ni ushirikina
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
He must be gay or bisexual
 
Story tu hizi. Hakuna mwanaume anayevaa shanga.
 
naona picha ya marehemu kaoge shoga maarufu la enzi hizo ndani ya mango garden
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…