Mwanaume kuwa na jinsia ya kike

Mwanaume kuwa na jinsia ya kike

Basi Nenda

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2017
Posts
20,774
Reaction score
47,866
Leo nikiwa katika kuchati kwenye ma group ya whatsapp nimekutana na video ambayo imenishangaza sana. Jamaa mmoja ana jinsia ya kike (papuchi) ni muafrika
Katika video hiyo wanaonekana watu kama wanne . Wawili wapo uchi ambapo wote ni wanaume ila mmoja wao ana papuchi ,watu wengine wanamshambulia kwa makofi jamaa aliye na huyo mtu aliye uchi na mwishoni wanamlazimisha afanye mapenzi na jamaa mwenye papuchi
Wakuu hii imekaaje ? Kuna aliyewahi kukutana na kitu kama hiki ?
Kuna mijadala mingi mno humu watu wamejalibu kuongelea jinsia za ajabu lakini hii ni tofauti .huyu jamaa sio shemale wala clothdresser huyu ana papuchi yenyewe kabisa OG
Nimetaka kui upload video ila nahofia sheria za humu (sio x ile ni video tu sema wahusika wapo uchi na ime recodiwa nje)
Kama sheria zinaruhusu nitaiweka
 
Attachments

Kiukweli huu ni udhalilishaji mkubwa halafu watu hawana habari wanapita tu!

Inawezekana walituhumiwa kwa ushoga,kumbe huyo mwingine ni mwanamke!

Au ni wezi
 
Kuliko kumdhalilisha kwa kumlazimisha aonyeshe nyeti zake..... Nadhani pengine walipaswa kumsaidia huyo kijana mwenye jinsia tatanishi, maana hata yeye hakujiumba hivyo. Yaani hata yeye hajui ni kwanini alizaliwa hivyo
 
Leo nikiwa katika kuchati kwenye ma group ya whatsapp nimekutana na video ambayo imenishangaza sana. Jamaa mmoja ana jinsia ya kike (papuchi) ni muafrika
Katika video hiyo wanaonekana watu kama wanne . Wawili wapo uchi ambapo wote ni wanaume ila mmoja wao ana papuchi ,watu wengine wanamshambulia kwa makofi jamaa aliye na huyo mtu aliye uchi na mwishoni wanamlazimisha afanye mapenzi na jamaa mwenye papuchi
Wakuu hii imekaaje ? Kuna aliyewahi kukutana na kitu kama hiki ?
Kuna mijadala mingi mno humu watu wamejalibu kuongelea jinsia za ajabu lakini hii ni tofauti .huyu jamaa sio shemale wala clothdresser huyu ana papuchi yenyewe kabisa OG
Nimetaka kui upload video ila nahofia sheria za humu (sio x ile ni video tu sema wahusika wapo uchi na ime recodiwa nje)
Kama sheria zinaruhusu nitaiweka
Mkuu huyo jamaa ni hemaphrodite yaani unakuta amezaliwa na jinsia mbili na zote zipo active ila sasa kisanga kinakuja pale ambapo uume unachukua nafasi ya kisimi na hata ukubwa pia unapungua na kurudi ule wa kisimi hapo ndipo ukimcheki unaona ana papuchi tu
 
Back
Top Bottom