Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
- Thread starter
-
- #41
Sasa mbona vikitajwa vigezo ambavyo ni vya kawaida na simple kabisa wanawake wana-panic?Sidhani
Watoto wa 96 ndio wanaingia third floor.Mambo yametwendea mrama watoto wa 96, hela hamna, watoto hatuna pia mke.
Nadhan tusipotuliza hakili tutajikuta tumo kweny huu mtego.
kama hujapata unachokitafta unaweza ukapagawa kabisa.Watoto wa 96 ndio wanaingia third floor.
Jana nilikua namsikiliza bimaza mmoja hivi kapigwa chini na mwamba yupo kitengo huko gavo mwamba alimsotea sana bibimaza akamtia injini mbili zote dume huku kashamlipia mahari kwao ila hakua amemuoa alimuahidi ndoa ni baada ya miezi mitatu baada ya kumlipia mahari ndani ya miezi 3 wangefunga ndoa ila hakumwambia ndoa yao itakuaje yaan preference yake yeye.. likaja suala la kumuoa akamkumbushia mwamba akamwambia yeye preference yake yeye km yeye sio ya kufanya sherehe kubwa bali ya kuandikishiana tu vyeti vya ndoa kwa Mkuu wa Mkoa au Wilaya au kwa Mwanasheria then maisha mengine yaende maana mpaka kuishi nae yeye tayari ni mkewe bimaza akakaza anataka sherehe ya kanisani.. mwamba akamwambia isiwe kesi akampiga chini fasta sasa hivi bimaza anatangatanga kusaka haki yake eti alipwe million 10 afanye mtaji wa biashara maana kesi zote alifungua mahakamani mwamba alikua anamshinda na yeye anatoka sifuri maana walifikishana mpaka mahakamani.. anaulizwa vipi jamaa akirudi akasema anataka kukuoa vilevile alivyotaka kwamba bila sherehe upo tayari? Anasema ndio kwa sasa nipo tayari kufunga ndoa bila sherehe nimejifunza kwa hii hali ninayopitia naishi maisha magumu sana bora tu ningekubari nisingekua naishi maisha haya.. anaulizwa kwanini mwanzo ulikataa? Anasema eti alishauriwa na wapuuzi wenzie mashoga zake ikiwemo mama yake asikubari kufunga ndoa ya kuandikishiana cheti tu bila sherehe ndio na yeye akamgomea mwamba kwamba hataki kusaini cheti tu anataka sherehe kubwa na yeye aonekane anaolewa na kibopa.. Hapa ndipo nilipogundua wanawake wanashikiwa akili na wanawake wenzao yanapowakuta wanabaki wenyewe wanatangatanga tu.. mwamba kagoma mpaka kutoa pesa za matunzo kwa watoto maana bimaza ni apeche hana kazi hana kibarua ila mwamba yupo kitengo serikalini safi kabisa.. wanawake sometimes wanazingua sanaIf you can have a choice as a woman, why won't men. It's not hatred, it's preferences.
Wanawake wanatumia nguvu kubwa sana kupotoshana. Mbaya zaidi wakishampotosha mwenzao akaingia shimoni hawatumii nguvu ile ile kumsaidiaJana nilikua namsikiliza bimaza mmoja hivi kapigwa chini na mwamba yupo kitengo huko gavo mwamba alimsotea sana bibimaza akamtia injini mbili zote dume huku kashamlipia mahari kwao ila hakua amemuoa alimuahidi ndoa ni baada ya miezi mitatu baada ya kumlipia mahari ndani ya miezi 3 wangefunga ndoa ila hakumwambia ndoa yao itakuaje yaan preference yake yeye.. likaja suala la kumuoa akamkumbushia mwamba akamwambia yeye preference yake yeye km yeye sio ya kufanya sherehe kubwa bali ya kuandikishiana tu vyeti vya ndoa kwa Mkuu wa Mkoa au Wilaya au kwa Mwanasheria then maisha mengine yaende maana mpaka kuishi nae yeye tayari ni mkewe bimaza akakaza anataka sherehe ya kanisani.. mwamba akamwambia isiwe kesi akampiga chini fasta sasa hivi bimaza anatangatanga kusaka haki yake eti alipwe million 10 afanye mtaji wa biashara maana kesi zote alifungua mahakamani mwamba alikua anamshinda na yeye anatoka sifuri maana walifikishana mpaka mahakamani.. anaulizwa vipi jamaa akirudi akasema anataka kukuoa vilevile alivyotaka kwamba bila sherehe upo tayari? Anasema ndio kwa sasa nipo tayari kufunga ndoa bila sherehe nimejifunza kwa hii hali ninayopitia naishi maisha magumu sana bora tu ningekubari nisingekua naishi maisha haya.. anaulizwa kwanini mwanzo ulikataa? Anasema eti alishauriwa na wapuuzi wenzie mashoga zake ikiwemo mama yake asikubari kufunga ndoa ya kuandikishiana cheti tu bila sherehe ndio na yeye akamgomea mwamba kwamba hataki kusaini cheti tu anataka sherehe kubwa na yeye aonekane anaolewa na kibopa.. Hapa ndipo nilipogundua wanawake wanashikiwa akili na wanawake wenzao yanapowakuta wanabaki wenyewe wanatangatanga tu.. mwamba kagoma mpaka kutoa pesa za matunzo kwa watoto maana bimaza ni apeche hana kazi hana kibarua ila mwamba yupo kitengo serikalini safi kabisa.. wanawake sometimes wanazingua sana
Muda bado unaruhusu, suala ni determination tukama hujapata unachokitafta unaweza ukapagawa kabisa.
ila bado mapema, acha tupambane hapo
sasa itakuaje wakati wengne hatupendelei wanawake wapambanaji?Amalize yote ana siku chache, kufika 2026 hatutaki kusikia upuuzi tuko busy na pesa..!!
kabsa kiongoz!Muda bado unaruhusu, suala ni determination tu
Wengi wao hicho ni kisingizio tu cha kupata uhuru wa kuishi maisha ya hovyo na kufanya mambo machafu bila kuwajibika kwa yoyote.kabsa kiongoz!
Na unawazungumziaje hawa wadada, wanaosema wanajitafuta bdo?
😁😁😁😁🙌🙌Kmmk
kwakwel kiongoz, hawa ma feminist, wanawake wapambanaj wanaharibu kizazi cha nyuma yao.Wengi wao hicho ni kisingizio tu cha kupata uhuru wa kuishi maisha ya hovyo na kufanya mambo machafu bila kuwajibika kwa yoyote.
Mwanaume jenga maisha yako then oa binti bikira mwenye heshima na tabia njema atakaekua tayari kufuata maono yako. Achana na feminist, career women au hao wanaojiita wapambanaji.
Wanawake ni wagumu sana kukubali accountability. Hao feminist, independent women and the likes ukiwatathmini deep down utagundua in their pasts somewhere somehow they stepped outside of nature alignment, insteady of acknowledging their mistake they denied it, and now they want to prove a point. And to prove that look at their demography you will see bitter women, old women past their prime, divorcee e.t.ckwakwel kiongoz, hawa ma feminist, wanawake wapambanaj wanaharibu kizazi cha nyuma yao.
Imefkia stage kwenye baadhi ya family wanaona ni jambo la kawaida la kumruhusu mtoto wa kike nae akatafute maisha.
Inasikitisha sana
Kwenye mijadala ya hapa na pale kuhusu committed relationship au ndoa, mwanaume akija na preferences za bikira, umri mdogo(18-23), single mother basi atapigwa vita kali sana na wanawake hata kama ana hoja nzuriKwani huwa unafanya press kusema preference zak?
nakama hawataki kuendeshwa na wanaume, hawataki kwenda na nature na hii desturi wakiendeleza, hapo tutegemee ongezeko la single mother mitaan na nchi kiujumla itapoteza utukufu wa ndoa.Wanawake ni wagumu sana kukubali accountability. Hao feminist, independent women and the likes ukiwatathmini deep down utagundua in their pasts somewhere somehow they stepped outside of nature alignment, insteady of acknowledging their mistake they denied it, and now they want to prove a point. And to prove that look at their demography you will see bitter women, old women past their prime, divorcee e.t.c
Hii comment iwekewe lamination na isomwe kwenye annual reports za UWABATA TAIFA 😆Nachojua ni kuwa always cheap is expensive.
Hata Kama I'm broke I can't date broke woman, single mothers, or 30 yrs above.
Mimi Kama Alpha male nakuwa nawatenga wanawake kimakundi
Kama zilivyo bidhaa
Grade one
Grade two
Grade Three
Nikikosa grade one , at least grade two
Ila siwezi kuokota okota ilimradi
It is better to stay single .
Mambo yametwendea mrama watoto wa 96, hela hamna, watoto hatuna pia mke.
Nadhan tusipotuliza hakili tutajikuta tumo kweny huu mtego.
We ndo ronya , usisemee wote 😂😂Daaaah tatizo linakuja,ushauri huu unafika ikiwa tayari wanawake wote tushakua malonya🤣🤣,acheni msioe tu kwakweli.