Mwanaume "kwa mara ya kwanza kubebesha msichana mimba" nulikuwa na umri gani, ulijisikiaje alipokwambia ana mimba yako?

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
15,835
Reaction score
23,776

Wavulana wana balehe miaka 14 na kuendelea japo mikoa ya Pwani hasa Tanga, Dar es salaam, Pwani, Mtwara na Lindi wananza ngono kabla ya baalehe tofauti na mikoa yenye maadili na mafunzo ya kaskazini na kanda ya kati na kanda ya ziwa.
Sasa , kijana wewe ulimpa msicha mimba ukiwa na umri gani na ulijisikiaje alipokwambia umempa mimba?

The Icebreaker

 
We fala, kwahiyo mikoa ya Pwani hawana maadili?
Rudi shule bro,
Is it maadili au social cultural zao wenyewe. Pwani bint wa miaka 14 anaolewa. Is it maadili?
Fala we.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…