Mdomo bakuli
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 3,442
- 7,007
Akimaliza ufunguzi aende akajenge walau kaburi la mamaake kule koromije ya kwao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii studio au uchochoro ngoja aje aone mange kimambi
Hivyo vyombo(camera)mbona Kariakoo zipo ?hata ubora zimezidiwa na vifaa vinavyouzwa pale kwa marehemu Mh Deo Filikunjombe -Jumbo Camera.Watu kwa kupenda sifa hamjambo
Sio kwa kutumia picha ingawa hata kwa kutumia picha unaweza kujua ubora kwa mtu ambaye unavijua hivyo vifaa na mimi navijua hivyo vifaa hata kwa kufumba macho najua hii ni model/brand ganiUbora wa vifaa kwa wewe huwa unautambuaje kwa kutumia picha mkuu??
Sio kwa kutumia picha ingawa hata kwa kutumia picha unaweza kujua ubora kwa mtu ambaye unavijua hivyo vifaa na mimi navijua hivyo vifaa hata kwa kufumba macho najua hii ni model/brand gani
View attachment 572587
Wakati yakiwa yamebakia masaa machache kabla ya macho na maskio ya mamilioni ya watanzania kuhamishiwa downtown Bongo kwa tukio kubwa namba mbili mwaka huu ,huku namba moja likiwa lile la usomaji wa ripoti ya mchanga.
Mmiliki wa kituo hicho kikubwa cha televisheni amewaonesha mashabiki wake mashine kadhaa alizonunua Marekani na Ulaya zikiwa katika majaribio ya mwisho mwisho.
Baadhi ya mashine za kisasa zilizobahatika kutambulishwa na Lemutuz ni mashine maalum za kuongelea(mics), vifaa vya kukalia (maarufu kama viti), kamera za kisasa kabisa zenye uwezo mkubwa, extension cables zenye urefu usioelezeka, acs pamoja na mashine nyingine ndogondogo kama vifaa vya kunywea chai na super coffee.
Lemutuz amedai ubunifu na kila kitu kwenye studio yake kunaenda kubadilisha jinsi watu wamezoea kupokea habari na uenda ikawa ni revolution itakayodumu kwa miaka 100 ijayo.
Pia Lemutuz ametumia muda huo kuwaomba vijana waliomaliza vyuo vikuu kuanza kutuma maombi ya ajira katika kampuni hiyo kuwa ya utangazaji