Mwanaume mbembeleze mwanamke baada ya ugomvi, mtatuua kwa stress

Kuna uzi huko usioe mwanamke mwenye pesa au mtumishi umeumia,nadhani umeusoma jukumu lenu kuzaa ukiamua pesa manake imejitoa kuolewa full stop
Hao wanawake wenye pesa na wanaolewa siyo wanawake? Au hao wanaowaoa siyo wanaume? Pole
 
Na nyie mnaotaka uhuru mnaushia kuwa left overs,watu wanatolea nyege wanasepa hamuwezi kuolewa
So uchague kuolewa au kuwa wa kutolea wanaume nyege
Khee sasa hapa unadhani unaongea na mwanamwali au? Au ulitaka hadi nikwambie kwamba nimeolewa? Kwa taarifa yako nimeolewa na nina watoto masikini kumbe ulidhani unaongea na mdangaji?

Na mwa taarifa yako tu kuna wanawake wengi tu wenye mitazamo kama yangu wameolewa na ndoa zimedumu pole acha kuteseka siyo kila mwanaume ana mambo ya ajabu kama wewe
 
Kuzaa ni kuzaa lazima uzae sasa unachotaka kunitwisha kisa unazaa hakibebeki,kuzaa utazaa tu sasa sijui unataka kwamba kisa unazaa ndo tuimbe hakuna kama mama,hili kwangu halipo ni jukumu lako kuzaa
Na wewe kulisha familia utalisha tu na hauhitaji kusifiwa kwa hilo kwa sababu ni jukumu lako yaani ni lazima ulifanye bila kuhitaji malipo yoyote yale
 
Mgegedo soon baada ya kubembelezwa unaukumbuka?
 
Na wewe kulisha familia utalisha tu na hauhitaji kusifiwa kwa hilo kwa sababu ni jukumu lako yaani ni lazima ulifanye bila kuhitaji malipo yoyote yale
Nalisha ndio lakini nimeshika mpini wewe unaelishwa umeshika makali lazima utii wa sheria bila shuruti uchukue mkondo wake
 
Lazima uinamie kama unabisha leta jeuri uisome namba japo mke gani yuko mtandaoni mda wote unatia mashaka au leo zamu ya mzee kupika
 
Hao wanawake wenye pesa na wanaolewa siyo wanawake? Au hao wanaowaoa siyo wanaume? Pole
Labda wameoa vi ben ten huku kwetu hawapo unless ni biashara ya familia ambayo kimsingi ni ya mwanaume wale wanawake wenye pesa ni single mom au wameachika hasa watumishi maana wafanyabiashara wa kike wengi wana pesa ya nyanya ambayo haina madhara
Kama mwanamke kuwa na pesa inayompa sauti ni dili mwambie kaka yako aoe mmja wao upate wifi
 
Lazima uinamie kama unabisha leta jeuri uisome namba japo mke gani yuko mtandaoni mda wote unatia mashaka au leo zamu ya mzee kupika
Usikariri maisha unafanya tutilie mashaka uwezo wako wa kufikiri ilihali unajiita mwanaume kamili, shame. Halafu kwahiyo mke wa mtu kukaa mtandaoni muda mwingi ni ajabu ila mume wa mtu kukaa mtandaoni muda mwingi ni kawaida siyo? Hii ndiyo Africa bwana tena Africa ya watu waliotawaliwa na wasioendelea.
 
Sijui hata kama wewe mwenyewe umekielewa ulichokiandika hapa
 
What is kupenda by the way,kwangu kutamka nakupenda is like kutamka samahani only actions will second me
Siyo lazima utamke ofcourse namaanisha hizo hizo actions je unamhudumia na unamjali mkeo ipasavyo?
 
Okay tumekusikia
 
Kuna demu flani hivi nilimpenda daah ila now hauna nafasi it`s too late Nakuonea huruma ntakuchezea tu
@@@@
 
HAHA SOMEHOW I CAN REVIEW THIS,I ONCE EXPRECIENCE THIS TO MY PAST ROMANTIC RELATIONSHIP. IT'S WEIRD BUT IT MATTERS TOO.
 
Nitamuanza kama mimi ndio nimekosea

Kama kosa ni lake sibembelezi mtu dadeq, silali nje, wala siku nje nataka apike na atandike kitanda mi ninale

Hata nikikosa mimi nitabembeleza kidogo tu akiringa nachukua time yangu

Maisha magumu haya kuanza kubembelezana ni kuongeza ugumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…