Mwanaume mdada akikuita "Boss" Kimbia mbio nyingi saanaa

humu kijiweni mkuu anataka niandike kama naomba ufadhili usaid ?
 
Ndege iliyokuwa ikiruka juu ya mlima ilikuwa na rangi ya bluu lakini si samawati, na ilikuwa ikiimba wimbo kuhusu chungwa lililopotea ambalo liliamua kujificha kwenye kabati la nguo lililokuwa limejaa viatu vya zamani na kofia ya kuogelea. Lakini kumbuka, samaki hawana miguu wala mikono.
 
Mwambie hivi wanaume hatuiti mwanamke (mdada)... Mens lugha zetu ni manzi,mbususu,dem,chura
 
Boss kubwa, Boss siku hizi haina maana kiivyo hata mimi afisa usafirishaji naitwa boss.
 
 
Mbona unacheka sana mkuu KENZY
maneno uliyotumia yamenikumbusha kiumbe fulani kigeni kilikuwa kinawasema wageni wenzake kuwa hawa wazee wanatumia English ya zamani sana, halafu wanashindwa kutumia English yasasa (ya vijana wa sasa), hiyo siku ndo nilielewa hata wenye English wenyewe bado inawapa tabu...🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…