Mwanaume mfupi kumuoa mwanamke mrefu

si mnaendeleza kizazi chenu cha mbilikimoz ebo mnataka maze na warefu ili mtuharibie mbegu. Tulieni na wafupi wenzenu
 
Mkuu manaume wafupi ni warefu sana kwenda chini, yaaani wankuaga siksi nchiz, na vaisi vesa iz turuuu
Ila wanawaka warefu wana viswapu yaaani kama nyota basi wana ya kabora basa
 
Nadhani ni zile tabu zao sababu wengi wanasifika ni watata balaa na hawajiamini pia kutokana na ufupi wao.

(Wafupi mnisamehe)
Ufupi sio ugonjwa,nakukubali tu...So na wewe sababu ni hiyo [emoji4] [emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…