Mwanaume mfupi kumuoa mwanamke mrefu

Mwanaume mfupi kumuoa mwanamke mrefu

Nimejaribu kusikiliza story nyingi za wanawake warefu wanasema "sitaki kuolewa na mwaume mfupi"[emoji16] [emoji16] inamaana wafupi kwa wafupi na warefu kwa warefu Au Mwanaume mrefu kwa mwanamke mfupi.

Sasa sisi wanaume wafupi tukioa tena wanawake wafupi tutazaa kitu gani?
si mnaendeleza kizazi chenu cha mbilikimoz ebo mnataka maze na warefu ili mtuharibie mbegu. Tulieni na wafupi wenzenu
 
Nadhani ni zile tabu zao sababu wengi wanasifika ni watata balaa na hawajiamini pia kutokana na ufupi wao.

(Wafupi mnisamehe)
Ufupi sio ugonjwa,nakukubali tu...So na wewe sababu ni hiyo [emoji4] [emoji4]
 
Back
Top Bottom