Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
So hajar na wewe hupendi mwanaume mfupi??Hapo ujue mwanaume kapendwa hasaaa.
Nawapenda ila si sana maana mie ni mrefu.So hajar na wewe hupendi mwanaume mfupi??
si mnaendeleza kizazi chenu cha mbilikimoz ebo mnataka maze na warefu ili mtuharibie mbegu. Tulieni na wafupi wenzenuNimejaribu kusikiliza story nyingi za wanawake warefu wanasema "sitaki kuolewa na mwaume mfupi"[emoji16] [emoji16] inamaana wafupi kwa wafupi na warefu kwa warefu Au Mwanaume mrefu kwa mwanamke mfupi.
Sasa sisi wanaume wafupi tukioa tena wanawake wafupi tutazaa kitu gani?
Hivi unadhani kwanini wanawake wengi hawapendi wanaume wafupi??Nawapenda ila si sana maana mie ni mrefu.
Nadhani ni zile tabu zao sababu wengi wanasifika ni watata balaa na hawajiamini pia kutokana na ufupi wao.Hivi unadhani kwanini wanawake wengi hawapendi wanaume wafupi??
Ufupi sio ugonjwa,nakukubali tu...So na wewe sababu ni hiyo [emoji4] [emoji4]Nadhani ni zile tabu zao sababu wengi wanasifika ni watata balaa na hawajiamini pia kutokana na ufupi wao.
(Wafupi mnisamehe)
Kabisaaa ufupi sio ugonjwa.Ufupi sio ugonjwa,nakukubali tu...So na wewe sababu ni hiyo [emoji4] [emoji4]
Haya mama,ninekuelewa.. [emoji4] [emoji4]Kabisaaa ufupi sio ugonjwa.
Hahahaaa. Hapana. [emoji85][emoji85]
[emoji23]Hahahaa. Lol. Wanaume wafupi kazi mnayo kwa kweli.
Mtazaa mfupi mwenzenu tu hapo.
Kwani Kaka na weye mfupi eee? [emoji85]Haya mama,ninekuelewa.. [emoji4] [emoji4]
So swahiba wewe mwanaume kijeba unatupa kule?Hapo ujue mwanaume kapendwa hasaaa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hapana,me ni mrefu..hope siku ntakuonaKwani Kaka na weye mfupi eee? [emoji85]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Swahiba nimecheka na mie jamaani lol.[emoji23]
Walahi vile Swahiba umejua kunibananisha leo. [emoji23] [emoji23] [emoji23]So swahiba wewe mwanaume kijeba unatupa kule?
Hahaaa. Usijali Kaka ake.[emoji23] [emoji23] [emoji23] hapana,me ni mrefu..hope siku ntakuona