Mwanaume mfupi kumuoa mwanamke mrefu

mtazaa mkazi wa msitu wa kongo.
 
Nadhani ni zile tabu zao sababu wengi wanasifika ni watata balaa na hawajiamini pia kutokana na ufupi wao.

(Wafupi mnisamehe)

Sema wanawake warefu wananikera kitu kimoja [emoji31][emoji31][emoji31]wote niliokutana naowanamapango hayo

Wanawake warefu mnisamehe bure [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Oaneni wafupi tu mnaweza kuzaa watoto warefu.
Hakuna jinsi yote yanawezekana; cha msingi ongeza bidii ya utafutaji wa pesa.
 
Oaneni wafupi tu mnaweza kuzaa watoto warefu.
Hakuna jinsi yote yanawezekana; cha msingi ongeza bidii ya utafutaji wa pesa.
Hahahaaa. Sijui kama inawezekana Kaka ake narudia kusema sijuii.

Hapo kwenye pesa ndio panamfaa atafute pesa tu na itamfanya aonekane mrefu kama Hashim Thabit. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…