Mwanaume mfupi kumuoa mwanamke mrefu

Mwanaume mfupi kumuoa mwanamke mrefu

Nimejaribu kusikiliza story nyingi za wanawake warefu wanasema "sitaki kuolewa na mwaume mfupi"[emoji16] [emoji16] inamaana wafupi kwa wafupi na warefu kwa warefu Au Mwanaume mrefu kwa mwanamke mfupi.

Sasa sisi wanaume wafupi tukioa tena wanawake wafupi tutazaa kitu gani?
mtazaa mkazi wa msitu wa kongo.
 
Nadhani ni zile tabu zao sababu wengi wanasifika ni watata balaa na hawajiamini pia kutokana na ufupi wao.

(Wafupi mnisamehe)

Sema wanawake warefu wananikera kitu kimoja [emoji31][emoji31][emoji31]wote niliokutana naowanamapango hayo

Wanawake warefu mnisamehe bure [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Oaneni wafupi tu mnaweza kuzaa watoto warefu.
Hakuna jinsi yote yanawezekana; cha msingi ongeza bidii ya utafutaji wa pesa.
Hahahaaa. Sijui kama inawezekana Kaka ake narudia kusema sijuii.

Hapo kwenye pesa ndio panamfaa atafute pesa tu na itamfanya aonekane mrefu kama Hashim Thabit. 😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom