Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,858
- 5,123
Mwanaume mmoja alikuwa na haraka akaamua kuingia choo cha wanawake....
Baada ya kujisadia akaona VITUFE vinne vilivyoandikwa MU, HM, PD na TP...
Kwakuwa hakujua kazi zake akaamua kubonyeza MU, akashangaa maji ya uvugugu yakamtawaza safi kabisa..
Akaamua abonyeze HM ili ajue maana yake,,, heee! Ikatoka hewa ya moto ikamkauka vizuri akafurahi....
Akabonyeza na PD, akashangaa poda imemnyunyizia ili awe anaharufu safi....
Jamaa baada ya kunogewa akaona bora amalizie na kitufe cha mwisho tuu TP,,,,, 😂😂😂😂😂😂 baadaye akajikuta anafumbua macho akiwa hospitalini huku nesi akiwa mbele yake anatabasamu,,,,,
Nesi akamwambia TP maana yake TOA PEDI iliyotumika,,,, ulipobonyeza mashine ikakosa pedi badala yake ikang'oa viungo vyako vyote vya uzazi, hivi hapa kwenye sahani.....
Siku ya tatu jamaa bado kazimia
Akili yangu naiweza mwenyewe