Vichogo nyie π sasa kama hamcheki muachane na uzi Dogoli mzee wa nyota kaona inachekesha kaamua alete jukwaaniWe nyoko kichogo mwenyewe, ko unalazimisha tucheke? Cheka wewe uliye Dubai unapigwa na AC sisi wa chitohori tumegoma kucheka..!! πΉ
Bongo mtu akichekesha na watu hawacheki vitu vinakuwa oppositeWanaJF ni watu wa ajabu sana mtu kaleta uzi watu wacheke badala yake wanamtukana kweli maisha ni magumu
Hatumuachi hapa sio Facebook πVichogo nyie π sasa kama hamcheki muachane na uzi Dogoli mzee wa nyota kaona inachekesha kaamua alete jukwaani
Unatumia strawman fallacy kumbeza fanya hivi we kichogo leta kichekesho chako au we mwenyewe ndio kichekesho πHatumuachi hapa sio Facebook π
Mbebe rafiki yako kinyamkera mkachekeshane Fb πΉπΉ
Nasemaje, we kichogo mchukue shost yako kinyamkera mkachekeshane Fb πΉπΉUnatumia strawman fallacy kumbeza fanya hivi we kichogo leta kichekesho chako au we mwenyewe ndio kichekesho π
we jokes hapa tucheke bhnNasemaje, we kichogo mchukue shost yako kinyamkera mkachekeshane Fb πΉπΉ
Matajiri mkishakua na pesa mnatafuta wa kuwachekesha πΉwe jokes hapa tucheke bhn
π nikuokotee maweMatajiri mkishakua na pesa mnatafuta wa kuwachekesha πΉ
Haya nilipe nikuchekeshe..!!
Na pua zao ndefu kama kichupa Cha kuhifadhia ugoroWashamba tu hao vichogo hamna lolote
Mkuu umepigaje apoππau we mwenyewe ndio kichekesho π