Mwanaume mmoja anapaswa kuwa na mwanamke mmoja

Mwanaume mmoja anapaswa kuwa na mwanamke mmoja

Katika uhalisia hili suala la wanaume kuowa wanawake wengi sizani kama lina maana yoyote nafikiri mtu mwenye IQ kubwa sana kwake kuowa wanawake kibao ni udhaifu flani alionao na ni kujitoa akili ni jambo lisilokuwa na maana yoyote.

Mwanaume mmoja anapaswa kuwa na mwanamke mmoja Mke mmoja anatosha kwenye kila kitu unajua Mwanaume kamili unaejielewa lazima ufikiri mke mmoja anatosha lakini mwanaume ulie dhaifu unae endeshwa na tamaa za mwili na uzinzi huna uthibiti wa uwanaume wako ni dhaifu na una IQ ndogo ndio sababu ya kutaka wanawake wengi.

"mwanaume mmoja mwili mmoja na mwanamke mmoja mwili mmoja" huyu alieanzisha habari za wanawake wengi na wao wanao fuata ni wanaume dhaifu sana.
Unaenda kinyume na maandiko......
 
Nchi zenye viwango vya juu vya elimu, kipato na utajiri kama UAE na Quatar ndiyo zinaongoza kuwa na idadi ya chini zaidi ya wanaume waliooa mke zaidi ya mmoja, japo sheria zao kama nchi ya kiislamu zinawaruhusu.

Top 5 za nchi wanazooa wanawake wengi zote ziko Afrika, wana dini moja inayoongoza na ni maskini kupitiliza.
  1. Burkina Faso: 36%
  2. Mali: 34%
  3. Gambia: 30%
  4. Niger: 29%
  5. Nigeria: 28%
Inatafakarisha 🤔

mbu wa dengue kwani ni nyie waafrika tu ndiyo mna huo uhitaji uliokithiri wa ngono?
Sisi tunafuata maandiko yanavyosema hatuishi kwa kumuiga mtu wewe kama anaona kigezo ni kumuiga mtu endelea tu kuiga.
Halafu sisi sio maskini kama unavyodhani,hivi unajua wananchi wa Nigeria wanavyoteseka wewe?bahati nzuri nimepata bahati ya kukutana na raia wa nchi zote hizo ulizozitaja hapo nikalinganisha maisha yao sisi tuna unafuu mara 10 zaidi achana na propaganda za kwenye makaratasi.
Hizo nchi ulizozitaja raia wake wanakimbia kila siku kwenda kwenye nchi za watu kwa kufosi kutokana na ugumu wa maisha na wengine wanasafiri kupitia jangwani kule Moroco wanakufa njiani wakielekea ughaibuni kwenye jangwa au kwenye bahari wakipanda mtumbwi.
Tembea ujionee
 
Nakataa, Waislamu wana IQ kubwa sana kuasi cha kujua mke mmoja hatoshi. Hivi wakati mke anajifungua, au ameambiwa wakati wa mimba asifanye sex, wewe mwanaume unajisaidia wapi? Au punyeto?
nimewauliza hayo maswali wameshindwa kunijibu halafu wanajiita Magenius ila hawajui kuchanganua hoja hao walichokariri ndio hichohicho
 
Sisi tunafuata maandiko yanavyosema hatuishi kwa kumuiga mtu wewe kama anaona kigezo ni kumuiga mtu endelea tu kuiga.
Halafu sisi sio maskini kama unavyodhani,hivi unajua wananchi wa Nigeria wanavyoteseka wewe?bahati nzuri nimepata bahati ya kukutana na raia wa nchi zote hizo ulizozitaja hapo nikalinganisha maisha yao sisi tuna unafuu mara 10 zaidi achana na propaganda za kwenye makaratasi.
Hizo nchi ulizozitaja raia wake wanakimbia kila siku kwenda kwenye nchi za watu kwa kufosi kutokana na ugumu wa maisha na wengine wanasafiri kupitia jangwani kule Moroco wanakufa njiani wakielekea ughaibuni kwenye jangwa au kwenye bahari wakipanda mtumbwi.
Tembea ujionee
Rudia tena kusoma reply yangu kwa utulivu, ulichokijibu ni sehemu ya nilichoandika “nchi maskini kuliko zote ndiyo wanaooa wake wengi zaidi, Nigeria ikiwemo kwenye list” na nchi zinazoongoza duniani, zote ziko Afrika.

Hata hao waarabu wenye dini yao waliowaleteeni nyie huku hawaoi wake wengi, sasa nyie ndiyo mnaijua zaidi dini au ni chembechembe za umaskini wa kufikiri pia.
 
upo sahihi ukitumia logic's na facts
ni ubnafsi kujilimbikizia wake

kwa tz ratio ya mwanamk na wanaume ni 1:1 sasa ukioa wake 4 roughly tayari ushaoa wake wa wanaume 3 unategemea hao wanaume waoane wenyewe au vp
Usitetee hoja kama limekukaba nyoosha maelezo kuwa nasumbuliwa na tatzo la nguvu za kiume wake wengi siwez
 
Ishi na mwanamke mmoja mjombaa harafu huyo mwanamke atakuwa na wanaume 6 na mimi nitakuwepo kwa iq yangu ndogo! Na ukumbuke tu kwamba mwanaume lijari hawi na mwanamke mmoja hata siku moja, ila hapo ongelea kwa kutetea mapungufu yako kwamba huwez na inaonyesha hata huyo mmoja kwako ni shida! Binafsi Nina iq ndogo Hawa watu wanaoitwa wanawake nawapongeza mnoooo popote walipo wananilea kwa kweli na nawa ahidi sitokuja kuwaangusha kamwe! Wanawake wadumu Sanaa jaman maana mwanaume usipo toa tiba basi Kuna Shida mahara maana ni aibu kuskia mwanaume anapumuliwa kisogoni! Iq ndogo nipo hapa
 
Katika uhalisia hili suala la wanaume kuowa wanawake wengi sizani kama lina maana yoyote nafikiri mtu mwenye IQ kubwa sana kwake kuowa wanawake kibao ni udhaifu flani alionao na ni kujitoa akili ni jambo lisilokuwa na maana yoyote.

Mwanaume mmoja anapaswa kuwa na mwanamke mmoja Mke mmoja anatosha kwenye kila kitu unajua Mwanaume kamili unaejielewa lazima ufikiri mke mmoja anatosha lakini mwanaume ulie dhaifu unae endeshwa na tamaa za mwili na uzinzi huna uthibiti wa uwanaume wako ni dhaifu na una IQ ndogo ndio sababu ya kutaka wanawake wengi.

"mwanaume mmoja mwili mmoja na mwanamke mmoja mwili mmoja" huyu alieanzisha habari za wanawake wengi na wao wanao fuata ni wanaume dhaifu sana.
Wewe kwahiyo:-

Wafuatao ni wadhaifu SI ndio!!?

1.Adam2.king solomon3. Ibrahim 4.musa5.yakobo6.daudi!!?

Jitafakari!
 
Rudia tena kusoma reply yangu kwa utulivu, ulichokijibu ni sehemu ya nilichoandika “kua, nchi maskini kuliko zote ndiyo wanaooa wake wengi zaidi, Nigeria ikiwemo kwenye list” na nchi zinazoongoza duniani, zote ziko Afrika.

Hata hao waarabu wenye dini yao waliowaleteeni nyie huku hawaoi wake wengi, sasa nyie ndiyo mnaijua zaidi dini au ni chembechembe za umaskini wa kufikiri pia.
Waarabu wa wapi hao ambao hawaowi wake wengi?lakini ikumbukwe kwenye maandiko tumeambiwa tuoe wake wengi kama tunawamudu kwa tendo la ndoa na kiuchumi haikusemwa kwamba kila mtu lazima aoe wake wengi,utakuta mwingine hata nguvu za kiume hana anafosi kuoa wake wengi hapo sasa ndipo wanapokiuka na kuwa vurugu.
 
Katika uhalisia hili suala la wanaume kuowa wanawake wengi sizani kama lina maana yoyote nafikiri mtu mwenye IQ kubwa sana kwake kuowa wanawake kibao ni udhaifu flani alionao na ni kujitoa akili ni jambo lisilokuwa na maana yoyote.

Mwanaume mmoja anapaswa kuwa na mwanamke mmoja Mke mmoja anatosha kwenye kila kitu unajua Mwanaume kamili unaejielewa lazima ufikiri mke mmoja anatosha lakini mwanaume ulie dhaifu unae endeshwa na tamaa za mwili na uzinzi huna uthibiti wa uwanaume wako ni dhaifu na una IQ ndogo ndio sababu ya kutaka wanawake wengi.

"mwanaume mmoja mwili mmoja na mwanamke mmoja mwili mmoja" huyu alieanzisha habari za wanawake wengi na wao wanao fuata ni wanaume dhaifu sana.
Mbona hili linapigwa vita Ila la jinsia moja mnakomaa kuwa ni haki. So na hili liache liwe la haki za binadamu too, acha kuingilia uhuru wa watu , huwezi badilisha nature , swala mwenyewe anatembea ana majike 30 kazi ni kuyagonga na kuyaelekeza malisho mazuri yalipo, hakuna mwanaume asiyependa kula kyuma karibu zote dunia nzima , unadhani ni nani anaweza akakataa nafasi ya mswati
 
Babe inabidi uzi nyingi
Acha ujuha wewe, Daudi muisrael toka lini akawa na wajukuu weusi? Kaone wajukuu wa Daudi kule Jerusalem kama utakuta ndugu yako hata mmoja.
nani kasema Daudi ana wajukuu weusi? unajua kusoma sawasawa? una uhakika uko timamu ki akili?
 
Mbona hili linapigwa vita Ila la jinsia moja mnakomaa kuwa ni haki. So na hili liache liwe la haki za binadamu too, acha kuingilia uhuru wa watu , huwezi badilisha nature , swala mwenyewe anatembea ana majike 30 kazi ni kuyagonga na kuyaelekeza malisho mazuri yalipo, hakuna mwanaume asiyependa kula kyuma karibu zote dunia nzima , unadhani ni nani anaweza akakataa nafasi ya
mkuu hebu nioneshe sehemu niliyo ongelea mapenzi ya jinsia moja hapo hebu kuwa positive na nilicho kiandika hapo, mimi siungi mkono mapenzi ya jinsia moja pia.
 
Back
Top Bottom