Huyo jamaa bwege tu . Wala asingempiga.
Kuna mfanyakazi mwenzangu aligundua kuwa watoto wote wawili aliozaa na mkewe sio wake.
Alichofanya alimwambia waachane tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke huyu amefanya jambo baya sana.Hata hivyo mwanamume naye hakutumia hekima na busara kabisa.Hivi kapata faida gani tangible,kwa kumshambulia kiasi hicho mkewe,sana sana atakachopata ni hasara tu ya kwenda jela.Reasonably angeachana naye tu na kutafuta ustarabu mwingine.Mbona wanawake ni wengi,tena wazuri zaidi ya huyu.Mwanamke mmoja huko Nigeria amechakazwa vibaya na MTU anayedhaniwa kuwa ni Mme wake baadaya kutokea hali yenye utata dhidi ya watoto wao. Mwanaume huyo tajiri na mfanyabiashara alikuwa na mpango wa kuhamisha family yake kutoka Benin kwenda Canada ndipo ubalozi wa NCHI hiyo
View attachment 1364291
Ulipohitaji Vipimo vya DNA kwa watoto wake hao watatu kwa kuhofia kuwa huenda alikuwa akitaka kusafirisha watu wasiokuwa na uhusiano naye kinyume cha sheria (human trafficking). Vipimo vilikuja na majibu kuwa bwana huyo siyo baba halali wa watoto wote watatu hivyo ufanyike
View attachment 1364293
Utaratibu mwingine wa kupata Visa na taratibu zingine za kisheria ili aruhusiwe kuingia Canada. Alirudi nyumbani kumhoji mke wake juu ya baba halali wa watoto hao na kwanini amekuwa msaliti kwa kiwango cha hatari kiasi hicho lakini hakupata majibu ya kueleweka Jamaa akaamua amuue
View attachment 1364295
Kabisa lakini watu wakawahi kuokoa uhai wa mwadada huyo huku meno manne yakiwa yameng'olewa kwa ngumi nzito nzito alizosukumiwa. Bado taarifa zaidi hazijatolewa kuhusu kukamatwa kwa mwanaume huyo lakini hali ya mwanamke ambaye ni msaliti ndiyo hiyo katika picha.
Kwa hyo unamuona bwege kwa sababu ya huyo mfanyakazi mwenzako?Huyo jamaa bwege tu . Wala asingempiga.
Kuna mfanyakazi mwenzangu aligundua kuwa watoto wote wawili aliozaa na mkewe sio wake.
Alichofanya alimwambia waachane tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yesu ni Mungu sio mwana falsafa kama wewe.Ndugu yangu naona tunafikiri sawa katika mambo fulani.
Suala la DNA ni nyeti sana. Habari ilivyokaa ni suspect sana.
Kwa watu wa caliber fulani, kuhoji habari ni lazima.
Ukianza kuhoji tu, nakupandiaha cheo. Kwa maana ni rahisi sana kufikiri kwamba Canada wamefikia ustaarabu wa kusema hawatagusa DNA.
Kwa maana, kama baba kampenda mke na mtoto anayejua si wake kibaiolojia, despite DNA, hapo serikali ya Canada itamkataliaje mtu aliyemtunza mtoto kwa miaka 17 na kumwambia himuyu si mtoto wako?
Hivi Eatanzania wakiambiwa leo Julius Kambarage Nyerere si mtoto wa Kibaiolojia wa Chifu Burito Nyerere, ni mtoto wa Mama na mtu mwingine tu, hiyo Chifu Burito Nyerere ubaba wake utatoweka licha ya kuwa father figure na kumlea na kumsimesha Julius Kambarage?
Hili si swali hypothetical tu.
Ni swali la kweli
Wazee Watiama wanaojua historia wanasema Julius si mtoto wa Chifu Burito.
Nilijadikiana sana na muandishi mmoja wa kitabu cha maisha ya Nyerere, mwisho nikqmwambia, kama Chifu Burito ni Baba wa kibaiolojia au si baba si kitu muhimu sana.
Kwa sababu, Waswahili walisema "Udugu ni kufaana, si kufaana".
Maana yake, anayekufaa katika dhiki ni ndugu yako kuliko anayefanana nawe, lakini hataki kukufaa.
Chief Burito alimfaa Mwalimu Nyerere sana kumlea na kumsomesha, kumkubali tu kama mwanawe. Hilo lilitosha kumfanya Julius Kambarage Nyerere kuwa mwanawe. Hata kama hakuna udugu wa damu.
Sasa mtu kama Chief Burito - hata kama si Baba wa kibaiolojia- ukienda kumpa mitihani ya DNA, itakuwa umemtendea haki kweli yeye au mtoto?"
Yesu - namtaja kama mwanafalsafa, si Mungu- katika hadithi ya Msamaria mwema, aliuliza. Jirani yako ni yupi? Mtu wa kabila yako aliyekuacha pembeni ya njia umepigwa? Au mtu asiye wa kabila yako aliyekuokota pembeni ya barabara na kukuhudumia majeraha yako?
Sent using Jamii Forums mobile app
Anza wewe kuthibitisha Mungu yupo kwanza.Yesu ni Mungu sio mwana falsafa kama wewe.
Una amini Yesu sio Mungu? Thibitisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu anataka wapatanishwe....usije kustuka siku ukiabiwa wamepatana! Huku hana menoView attachment 1364319
Kitochi Original
Tunakauka kibingwa kwasababu madhala ya kutokauka ni makubwa na matokeo yake yanaweza yakaruin maisha yetu na ya watoto kabisa ingawa wanaume huwa tunaumia sana kisaikolojia.Nafikiri kibongo bongo.... Kuna baadhi ya wanaume Tena wanahisi kabisa mtoto huyu sio wangu Ila wanakauka KIBINGWA.
Kama jogoo hawiki nakuhakikishia asingekifanya hiko alichokifanya mkuu. Inauma sana kila siku unarutubisha halafu mavuno si yako.Huenda jamaa jogoo hawiki
Kitochi Original
[emoji1787][emoji1787][emoji23]Kwani huko Nigeria hakuna mkaa?😛😛
Naichukia sana hii kauliKwa hapa bongo wapo wengi tu wanalea damu zisizo wahusu, sema ndiyo hivyo kitanda hakizai haramu!
Huu sio uamuzi wa busara, kwanini uongeze jambo baya katika historia ya maisha yako with something that will haunt you in your entire life?Ni kumpa kichapo tu, afu unaachana naye.wanawake wengi ni wajinga siku hizi
Sent using Jamii Forums mobile app