Mwanaume mmoja nchini Nigeria amjeruhi vibaya mkewe baada ya vipimo vya DNA kuonesha kuwa watoto wao watatu sio wa mwanamme huyo

Mwanaume mmoja nchini Nigeria amjeruhi vibaya mkewe baada ya vipimo vya DNA kuonesha kuwa watoto wao watatu sio wa mwanamme huyo

inaonesha matajiri hawaujui mkaa au nigeria haupo?
 
Vijana katika ujana wenu jitahidi uwe na mtoto 1 au 2 ili ukiingia kwenye ndoa uwe na wa nje
Hili likikufika angalau hata umfukuze au mmeachana usiumie kivile coz ziada ipo.
Hakuna kitu inauma kama mtoto mapendo yote yale leo sio wako dah sijui kifua gani hicho cha kutunza hilo!
Yote 9 kuanza 1 jambo lo lote inauma mno kupoteza muda, pengine wa mwisho labda ana miaka 10 just imagine unaanza 1 mimba kakue kaanze shule kamalize we nae umri ndo huo unasonga yaani huyo mke ashukuru kug’olewa meno na sura kuparuliwa
Mi ningemuuwa potea mbali. Shida sio Canada shida hawa sio damu yangu! Cheza rough ujanani hilo ndo nimejifunza kwa hiki kisa!

Ujanani kuna nini? Sijaelewa
 
Mimi sikubaliani na demu kufanya ushenzi huu. Lakni sisi wanaume mbona tunazalisha nje??. Ila wanachokosea wanawake ni kujifanya wajanja na wenye akili nyingi. Mtakufa aisee!
 
Mm ningeondoka nikamuachia nyumba na asingewai niona tena na asingejua nimeondoka kwa sabab gani kid ink tz,

Sent using kvant
Sasa ungekuwa una akili au taahira? Umemkomoa nani sasa? Labda kama wewe ni hanithi na unajijua, ila kama rijali huwezi ondoka. Hapo utakuwa unaogopa aibi ya uhanithi wako.
 
kama vile ambavyo wapo wanaume wana watoto nje ya ndoa vile vile wapo wanawake. uwe me au ke kama huwezi samehe ukalea achaneni kwa amani.
Na tukubaliane nikikuacha kwa amani hupati kitu, yaani utaondoka na bags zako tu.
 
Tena Jamaa ni Bwege nazi si Bwege peke yake, Mambo ya kupigana pigana ni ushamba sana

Kila nafsi ni nafsi huru na huwezi control maamuzi ya kihisia ya mtu mwingine
Wewe ni hanithi? Au nyie ndio mnalala na wake za watu? Azae na awalishe kwa hela zake, yaani wale kwa hela zangu? Over my dead body nakuchinja. Na nimependa angalau amepigwa, ikikuuma nenda kamtetee.
 
Hivi hakuna vipimo vya DNA vya kiasili huku vijijini, maana wengine tunashinda Ziwani tunaacha wake zetu nyumbani. Mzee wa kilingeni Mshana aje atusaidie.
 
Back
Top Bottom