Wewe kupiga sio jibu, ni kwenda kupima tu kama una uwezo wa kuzalisha basi !Ni kumpa kichapo tu, afu unaachana naye.wanawake wengi ni wajinga siku hizi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo ukweli wenyeweNaichukia sana hii kauli
Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Hiyo kauli ya kitanda hakizai haramu, ni uhaini
Hiyo kauli ya kitanda hakizai haramu, ni uhaini
Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Ndio maana watu wanaua. [emoji34][emoji34][emoji34][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] taratibu sasa kama mtu hajielewi asaidiwe vipi msaada ndiyo huo
Sent using Jamii Forums mobile app
wasemavyo waswahili kitanda hakizai haramu, funika kombe mwanaharamu apite.Naichukia sana hii kauli
Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Vijana katika ujana wenu jitahidi uwe na mtoto 1 au 2 ili ukiingia kwenye ndoa uwe na wa nje
Hili likikufika angalau hata umfukuze au mmeachana usiumie kivile coz ziada ipo.
Hakuna kitu inauma kama mtoto mapendo yote yale leo sio wako dah sijui kifua gani hicho cha kutunza hilo!
Yote 9 kuanza 1 jambo lo lote inauma mno kupoteza muda, pengine wa mwisho labda ana miaka 10 just imagine unaanza 1 mimba kakue kaanze shule kamalize we nae umri ndo huo unasonga yaani huyo mke ashukuru kug’olewa meno na sura kuparuliwa
Mi ningemuuwa potea mbali. Shida sio Canada shida hawa sio damu yangu! Cheza rough ujanani hilo ndo nimejifunza kwa hiki kisa!
Yeah lazima wakauke si mahanithi? Kwa rijali hapo ni ugomvi yaani.Nafikiri kibongo bongo.... Kuna baadhi ya wanaume Tena wanahisi kabisa mtoto huyu sio wangu Ila wanakauka KIBINGWA.
Sasa ungekuwa una akili au taahira? Umemkomoa nani sasa? Labda kama wewe ni hanithi na unajijua, ila kama rijali huwezi ondoka. Hapo utakuwa unaogopa aibi ya uhanithi wako.Mm ningeondoka nikamuachia nyumba na asingewai niona tena na asingejua nimeondoka kwa sabab gani kid ink tz,
Sent using kvant
Kwa rijali hiyo adhabu ni ndogo mnooo, ni lazima aadhibiwe. Kama umeumia nenda kashitaki!kid ink tz,
licha ya yote aliyofanya mwanamke haihalalishi adhabu ya kuua mtu au kumfanyia ukatili wa namna hii
Ndio kashapigwa, kama imekuua mfuate.
Sasa unataka huruma ipi tena wewe hanithi?Wanawake msitufanyi hivi basi jamani...kuweni na hata huruma basi....
Kwa nini nisiende? Kwena ni LAZIMA.Apo bongo hio kitu kuzalishiana ndio vimeenea, usije kujaribu kwenda kupima DNA kama unaishi bongo na family yako, Wanawake akili zao wanazifahamu wenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Na tukubaliane nikikuacha kwa amani hupati kitu, yaani utaondoka na bags zako tu.kama vile ambavyo wapo wanaume wana watoto nje ya ndoa vile vile wapo wanawake. uwe me au ke kama huwezi samehe ukalea achaneni kwa amani.
Halina akili hilo likijibu ni-tag!Una akili kweli ww?,nimwachiaje nyumba na wakati watt sio wangu kwa mfano?!...
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiona watu wana misemo ya kuchochea uzinzi ujue ndio wanaozalisha wake za watu. Dawa yenu ni kuchinjwa tu, na hakuna majadiliano kabisa.#KuchapiwaHakuepukiki
#KitandaHakizaiHaramu
#Kuchapiwanisiriyandani
Wewe ni hanithi? Au nyie ndio mnalala na wake za watu? Azae na awalishe kwa hela zake, yaani wale kwa hela zangu? Over my dead body nakuchinja. Na nimependa angalau amepigwa, ikikuuma nenda kamtetee.Tena Jamaa ni Bwege nazi si Bwege peke yake, Mambo ya kupigana pigana ni ushamba sana
Kila nafsi ni nafsi huru na huwezi control maamuzi ya kihisia ya mtu mwingine