Mwanaume msemo hii mwiko

Mwanaume wa kweli wala hafundishwi hayo yeye mwenyewe anajua hivi vitu si vyake na hawezi kutumia. Huyo wa kukatazwa tayari ni mchele mchele.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na pia mwanaume n mwiko kutoga skio, kutinda nyusi ...kupaka bleach... Kuvaa mlegezo na surual za kubana mapaja....huo sio uanaume

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio hayo tu hata kuoga kila siku mwanaume haifai inatakiwa mpaka uanze kunuka kama beberu ivi ndio uanaume afu pia mwanaume ni kuwa na boxer moja tu kauaka nkuvae
 
Mwanaume anakuandikia sms anakwambia usiku mwema dear au baby unblock unafuta na namba kabisa.

Mtu kama huyu kama yuko karibu yako lazima umpandishe cheo.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…