Mwanaume Muislam safi anahitajika

Mwanaume Muislam safi anahitajika

Kupima afya ni muhimu sana,maana huo umri mtu anakuwa ameingiza mashimo ya kutosha tu.afya iwe kipaumbele cha muhimu sana.

Halafu awe makini ,wengine wataigiza hata mwaka mzima wakipima faida,hasa kama bidada ana vipesa. Atachunwa halafu mtu anapita hivii...

Kitu chengine mapenzi bhana yana natural yake,namna mnakutana,kupendana n.k.sasa hii ya humu inakuwaga haina uhalisia,yaan maigizo lazima yawepo.

Namtakia heri,apate hitaji la moyo wake.
cock blocker
 
Kama kweli upo ktk uhitaji wa mume wa mtandao wa hapa Jamii Forum Baci aanze kwanza kwa "kumsahili Allah" ili apate muongozo na afanyikiwe kupata mume anaemhitaji.
Allah huwa anaongea? Just asking
 
Habari wadau...

Ukisikia bahati Sasa ndio hii. Najua Wapo ambao hawataelewa na kuchukulia utani lakini hili suala Ni serious Sana kutokana na mhusika mwenyewe.

Sifa.
Awe muislam
Miaka kuanzia 40 na kuendelea
Kazi mfanyakazi au mfanyabiashara
Makazi awe anaishi Dar.
Awe hajawahi oa au alioa akatalikiana pia akiwa na watoto ni sawa

Sifa za muhitaji
Rangi ya chungwa na tabasamu bashasha
Watoto 2( Wapo nje ya nchi hakai nao)
Ni mfanyabiashara.
Ni mjane

Mengine njoo pm ili ukutanishwe na mlengwa. Narudia kwa atakayefanikiwa kuelewana na Dada huyu basi ataishukuru JF mpaka mwisho wa maisha yake kwani sasa ataenda kuishi Dunia ya furaha na yenye asali na maziwa.
Mambo magumu Kitaa huku hataki kakijana kadogo dogo ka kulea. Kuhusu dini nitabadili.
 
Allah huwa anaongea? Just asking
Ndio anaongea... Kama ww unao imani dhabiti. Na unao nia ya kumomba akutatulie shida zako hapa duniani. Jitahidi uwe mnyenyekevu kwake atakuskiliza na kukupa muongoz wa kupita au kujibu moja kwa moja maombi yako.
 
Anaongeaje? Yani anatumia mbinu zipi kuongea na waumini?
 
Ndio anaongea... Kama ww unao imani dhabiti. Na unao nia ya kumomba akutatulie shida zako hapa duniani. Jitahidi uwe mnyenyekevu kwake atakuskiliza na kukupa muongoz wa kupita au kujibu moja kwa moja maombi yako.
Amina
 
Dunia ya asali na maziwa kwa watu wa vizazi hivihivi?😂😂
 
Back
Top Bottom