Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanza Mimi Ni mkristoMkuu mbona unajibu kama mtu mwenyewe ndio wewe???
Naomba niandike kwa uchache kwa kukusaidia wewe na wengine wenye upeo Kama weweNi hivi: mara nyingi kama sio zote mtu hupata mtu wake kwenye mazingira alipo yeye (mtaani, kazini, safarini, kwenye nyumba za ibada, kwenye matukio ya kijamii etc etc)
Ukianza kutafuta kwenye social media ujue tu utapata watu wa kuja kula mzigo na kusepa. Mwambie aanze kutafuta hukohuko kwenye cycle take.
Harafu apunguze hivyo vigezo. Kwani anatoa ajira!? Watu wenye vigezo wana watu wao tayari na labda waje kumfanya mchepuko tu
Tena anapenda ambao tayari walishakuwa na familia pengine kwa bhy mbaya kuachana au kufiwamiaka 40 hawezi kusimamia kucha..! dah! mpetipeti basi ashuke hadi wa miaka 25..😉
Wewe Ni Islam?Mambo Ni Mengi Sana
Lakini Kama Atakosa Anicheck PM
Kuna Vifungu Tunaweza Kuvibadili
Haa[emoji16][emoji23][emoji3][emoji28][emoji1][emoji1][emoji1][emoji16][emoji23][emoji1787][emoji2]
Ndiyo Ukweli Wenyewe
Nasema Uongo Ndugu Zangu
Nitaongea naye kesho vizuriMiaka imeniangusha!!
Hivi huwezi kupunguza hapo kwenye miaka? Punguza miaka miwili tu, nikamilishe sifa! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
Habari wadau...
Ukisikia bahati Sasa ndio hii. Najua Wapo ambao hawataelewa na kuchukulia utani lakini hili suala Ni serious Sana kutokana na mhusika mwenyewe.
Sifa.
Awe muislam
Miaka kuanzia 40 na kuendelea
Kazi mfanyakazi au mfanyabiashara
Makazi awe anaishi Dar.
Awe hajawahi oa au alioa akatalikiana pia akiwa na watoto ni sawa
Sifa za muhitaji
Rangi ya chungwa na tabasamu bashasha
Watoto 2( Wapo nje ya nchi hakai nao)
Ni mfanyabiashara.
Ni mjane
Mengine njoo pm ili ukutanishwe na mlengwa. Narudia kwa atakayefanikiwa kuelewana na Dada huyu basi ataishukuru JF mpaka mwisho wa maisha yake kwani sasa ataenda kuishi Dunia ya furaha na yenye asali na maziwa.
Hapo kwenye Talaka umepaelewa?. Na aliomba hivyo kwa kuwakwa umri umesogea awe na mtu mzima.wenye mitihani Kama yake maishani Wapo"Miaka kuanzia 40 na kuendelea
Kazi mfanyakazi au mfanyabiashara
Makazi awe anaishi Dar.
Awe hajawahi oa au alioa akatalikiana pia akiwa na watoto ni sawa"
Hizi ni sifa za mume wa mtu. Yaani wenye sifa hizi tayari Wana familia zao