Mwanaume Muislam safi anahitajika

Mwanaume Muislam safi anahitajika

Alienda akirushiwa maua akarudi akirushiwa vikorokoro vyake 😄😄
 
Tayari umemponza huyo dada
Uta invite mtu msanii utakuja kukumbuka hii comment..
Hapana ameshaishi kwenye ndoa msanii anamjua
Huo Ndo uhalisia hata nisinhesema angejionea.
Hapa kikubwa ni upendo wa Dhati
Na mtu kujua majukumu ya kiume kupenda ndugu heshima Kichwa kiwe kinachaji vizuri
Yaani watachujana tu
Mtu mwongo au Tapeli mbona anajulikana
 
Mmmh yaani unaonyesha kuwa muhusika kwamba yuko vizuri kiuchumi....
Mtu afate pesa.
Kwani atakayemfuata atakuwa Hana pa kuanzia?
Kweli kwa huyu na mhusika uwe kidogo mambo yako kidogo yawe sawa ili usijisikie mnyongee
 
Niombee apate mtu mwema.
Ni Ile Sasa mtu wa vile anaogopwa wakidhani mtu ana mtu
Ni hivi: mara nyingi kama sio zote mtu hupata mtu wake kwenye mazingira alipo yeye (mtaani, kazini, safarini, kwenye nyumba za ibada, kwenye matukio ya kijamii etc etc)

Ukianza kutafuta kwenye social media ujue tu utapata watu wa kuja kula mzigo na kusepa. Mwambie aanze kutafuta hukohuko kwenye cycle take.

Harafu apunguze hivyo vigezo. Kwani anatoa ajira!? Watu wenye vigezo wana watu wao tayari na labda waje kumfanya mchepuko tu
 
Habari wadau..
Ukisikia bahati Sasa ndio hii
Najua Wapo ambao hawataelewa na kuchukulia utani lakini hili suala Ni serious Sana kutokana na mhusika mwenyewe.
Sifa.
Awe muislam
Miaka kuanzia 40 na kuendelea
Kazi mfanyakazi au mfanyabiashara
Makazi awe anaishi Dar.
Awe hajawahi oa au alioa akatalikiana pia akiwa na watoto Ni sawa
Sifa za muhitaji
Rangi ya chungwa na tabasamu bashasha
Watoto 2( Wapo nje ya nchi hakai nao)
Ni mfanyabiashara.
Ni mjane
Mengine njoo pm ili ukutanishwe na mlengwa..
Narudia kwa atakayefanikiwa kuelewana na Dada huyu basi ataishukuru JF mpaka mwisho wa maisha yake kwani Sasa ataenda kuishi Dunia ya furaha na yenye asali na maziwa.

Chance ya Don Nalimison hii...[emoji91][emoji91][emoji91]
 
miaka 40 hawezi kusimamia kucha..! dah! mpetipeti basi ashuke hadi wa miaka 25..😉
 
Habari wadau..
Ukisikia bahati Sasa ndio hii
Najua Wapo ambao hawataelewa na kuchukulia utani lakini hili suala Ni serious Sana kutokana na mhusika mwenyewe.
Sifa.
Awe muislam
Miaka kuanzia 40 na kuendelea
Kazi mfanyakazi au mfanyabiashara
Makazi awe anaishi Dar.
Awe hajawahi oa au alioa akatalikiana pia akiwa na watoto Ni sawa
Sifa za muhitaji
Rangi ya chungwa na tabasamu bashasha
Watoto 2( Wapo nje ya nchi hakai nao)
Ni mfanyabiashara.
Ni mjane
Mengine njoo pm ili ukutanishwe na mlengwa..
Narudia kwa atakayefanikiwa kuelewana na Dada huyu basi ataishukuru JF mpaka mwisho wa maisha yake kwani Sasa ataenda kuishi Dunia ya furaha na yenye asali na maziwa.
Miaka imeniangusha!!
Hivi huwezi kupunguza hapo kwenye miaka? Punguza miaka miwili tu, nikamilishe sifa! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
Habari wadau..
Ukisikia bahati Sasa ndio hii
Najua Wapo ambao hawataelewa na kuchukulia utani lakini hili suala Ni serious Sana kutokana na mhusika mwenyewe.
Sifa.
Awe muislam
Miaka kuanzia 40 na kuendelea
Kazi mfanyakazi au mfanyabiashara
Makazi awe anaishi Dar.
Awe hajawahi oa au alioa akatalikiana pia akiwa na watoto Ni sawa
Sifa za muhitaji
Rangi ya chungwa na tabasamu bashasha
Watoto 2( Wapo nje ya nchi hakai nao)
Ni mfanyabiashara.
Ni mjane
Mengine njoo pm ili ukutanishwe na mlengwa..
Narudia kwa atakayefanikiwa kuelewana na Dada huyu basi ataishukuru JF mpaka mwisho wa maisha yake kwani Sasa ataenda kuishi Dunia ya furaha na yenye asali na maziwa.
We ni bikra?
 
Hajakwama alifiwa tu Ni mjane
Unaelewa wenzetu Hawa wanavyojitunza hata maadili mazuri.
Niombee apate mtu mwema.
Ni Ile Sasa mtu wa vile anaogopwa wakidhani mtu ana mtu
Mkuu
Mbona Unafanya Jambo Liwe Gumu Sana
Aje Sasa Tubadili Katiba, Maana Asingoje Mno
 
Back
Top Bottom