Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana ameshaishi kwenye ndoa msanii anamjuaTayari umemponza huyo dada
Uta invite mtu msanii utakuja kukumbuka hii comment..
nakujaHajakwama alifiwa tu Ni mjane
Unaelewa wenzetu Hawa wanavyojitunza hata maadili mazuri.
Niombee apate mtu mwema.
Ni Ile Sasa mtu wa vile anaogopwa wakidhani mtu ana mtu
Mkuu mbona unajibu kama mtu mwenyewe ndio wewe???Hataki purukushani za akina Dr.Mwaka
Wewe uwe wewe Kama ulioa zamani Talaka mkononi
Ni hivi: mara nyingi kama sio zote mtu hupata mtu wake kwenye mazingira alipo yeye (mtaani, kazini, safarini, kwenye nyumba za ibada, kwenye matukio ya kijamii etc etc)Niombee apate mtu mwema.
Ni Ile Sasa mtu wa vile anaogopwa wakidhani mtu ana mtu
Habari wadau..
Ukisikia bahati Sasa ndio hii
Najua Wapo ambao hawataelewa na kuchukulia utani lakini hili suala Ni serious Sana kutokana na mhusika mwenyewe.
Sifa.
Awe muislam
Miaka kuanzia 40 na kuendelea
Kazi mfanyakazi au mfanyabiashara
Makazi awe anaishi Dar.
Awe hajawahi oa au alioa akatalikiana pia akiwa na watoto Ni sawa
Sifa za muhitaji
Rangi ya chungwa na tabasamu bashasha
Watoto 2( Wapo nje ya nchi hakai nao)
Ni mfanyabiashara.
Ni mjane
Mengine njoo pm ili ukutanishwe na mlengwa..
Narudia kwa atakayefanikiwa kuelewana na Dada huyu basi ataishukuru JF mpaka mwisho wa maisha yake kwani Sasa ataenda kuishi Dunia ya furaha na yenye asali na maziwa.
miaka 40 hawezi kusimamia kucha..! dah! mpetipeti basi ashuke hadi wa miaka 25..😉Habari wadau..
Ukisikia bahati Sasa ndio hii
Najua Wapo ambao hawataelewa na kuchukulia utani lakini hili suala Ni serious Sana kutokana na mhusika mwenyewe.
Sifa.
Awe muislam
Miaka kuanzia 40 na kuendelea
Kazi mfanyakazi au mfanyabiashara
Makazi awe anaishi Dar.
Awe hajawahi oa au alioa akatalikiana pia akiwa na watoto Ni sawa
Sifa za muhitaji
Rangi ya chungwa na tabasamu bashasha
Watoto 2( Wapo nje ya nchi hakai nao)
Ni mfanyabiashara.
Ni mjane
Mengine njoo pm ili ukutanishwe na mlengwa..
Narudia kwa atakayefanikiwa kuelewana na Dada huyu basi ataishukuru JF mpaka mwisho wa maisha yake kwani Sasa ataenda kuishi Dunia ya furaha na yenye asali na maziwa.
Mambo Ni Mengi SanaHaaa haaaa yeye Ndo kataka ili waendane
Si unajua kwenye futari hunoga kufuturu pamoja mliofunga
Miaka imeniangusha!!Habari wadau..
Ukisikia bahati Sasa ndio hii
Najua Wapo ambao hawataelewa na kuchukulia utani lakini hili suala Ni serious Sana kutokana na mhusika mwenyewe.
Sifa.
Awe muislam
Miaka kuanzia 40 na kuendelea
Kazi mfanyakazi au mfanyabiashara
Makazi awe anaishi Dar.
Awe hajawahi oa au alioa akatalikiana pia akiwa na watoto Ni sawa
Sifa za muhitaji
Rangi ya chungwa na tabasamu bashasha
Watoto 2( Wapo nje ya nchi hakai nao)
Ni mfanyabiashara.
Ni mjane
Mengine njoo pm ili ukutanishwe na mlengwa..
Narudia kwa atakayefanikiwa kuelewana na Dada huyu basi ataishukuru JF mpaka mwisho wa maisha yake kwani Sasa ataenda kuishi Dunia ya furaha na yenye asali na maziwa.
We ni bikra?Habari wadau..

FursaMadalali mmehamia kwenye Ndoa?
MkuuHajakwama alifiwa tu Ni mjane