Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimekutumia msg inbo isome unipe mrejeshoHuyo Dada anataka mtu serious 40 +
Na yupo serious kweli
Yupo lonely na kwa nature yake ya upole baada ya kufiwa anajikuta lonely na wengi wakijua ana mtu
So nawatoa shaka.
Nina Imani atakayefanikiwa
He will not regret
Ukisikia bahati Sasa ndio hii. Najua Wapo ambao hawataelewa na kuchukulia utani lakini hili suala Ni serious Sana kutokana na mhusika mwenyewe.
Sifa.
Awe muislam
Miaka kuanzia 40 na kuendelea
Kazi mfanyakazi au mfanyabiashara
Makazi awe anaishi Dar.
Awe hajawahi oa au alioa akatalikiana pia akiwa na watoto ni sawa
Sifa za muhitaji
Rangi ya chungwa na tabasamu bashasha
Watoto 2( Wapo nje ya nchi hakai nao)
Ni mfanyabiashara.
Ni mjane
Mengine njoo pm ili ukutanishwe na mlengwa. Narudia kwa atakayefanikiwa kuelewana na Dada huyu basi ataishukuru JF mpaka mwisho wa maisha yake kwani sasa ataenda kuishi Dunia ya furaha na yenye asali na maziw
mimi nimekuelewa uzuri sana ✌️Mwambie ashuke mpana 30 nipo hapa.
Habari wadau...
Ukisikia bahati Sasa ndio hii. Najua Wapo ambao hawataelewa na kuchukulia utani lakini hili suala Ni serious Sana kutokana na mhusika mwenyewe.
Sifa.
Awe muislam
Miaka kuanzia 40 na kuendelea
Kazi mfanyakazi au mfanyabiashara
Makazi awe anaishi Dar.
Awe hajawahi oa au alioa akatalikiana pia akiwa na watoto ni sawa
Sifa za muhitaji
Rangi ya chungwa na tabasamu bashasha
Watoto 2( Wapo nje ya nchi hakai nao)
Ni mfanyabiashara.
Ni mjane
Mengine njoo pm ili ukutanishwe na mlengwa. Narudia kwa atakayefanikiwa kuelewana na Dada huyu basi ataishukuru JF mpaka mwisho wa maisha yake kwani sasa ataenda kuishi Dunia ya furaha na yenye asali na maziwa.
Mimi nina miaka 38 si imepungua miwili tu hapo! Rangi ya chungwa kama hii vipi?View attachment 1736651
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app