Mwanaume mwenye 40s aliyefulia vs Mwanamke mwenye 40s asie na mtoto, yupi mwenye stress zaidi?

Mwanaume mwenye 40s aliyefulia vs Mwanamke mwenye 40s asie na mtoto, yupi mwenye stress zaidi?

Wanasema maisha huanza 40, muda huo kama kuna vitu havijakaa sawa unaweza kuwa desperate

- Mwanamke 40s asie na mume au/na MTOTO

- Mwanaume 40s ambae kafulia mbaya zaidi hana mtaji wala connections wala ujuzi.
Kibaya Zaid huyo mwanamke awe hana mtoto na pesa pia hana, hawa watu nahisi jehanamu wanaiexperince kabla hawajafika kuzimu
 
FB_IMG_1712175734853.jpg
 
Unatakiwa u struggle bila kuangalia wenye hali mbaya zaidi na wewe, Hakuna nafuu below red line, tafuta pesa kijana.
 
Wanasema maisha huanza 40, muda huo kama kuna vitu havijakaa sawa unaweza kuwa desperate

- Mwanamke 40s asie na mtoto

- Mwanaume 40s ambae kafulia
Mimi mbona ni over 40 nimefulia na sina stress?

Leo nina buku 4 tu halafu yote nainywa lager nikalale.
 
Asie na mtoto sababu ya nn hasa? Kama hajapoga show apambane
 
Back
Top Bottom