fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
jibu mjarabuKwani n wewe unampenda?Kama vipi mtongoze wewe
Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jibu mjarabuKwani n wewe unampenda?Kama vipi mtongoze wewe
Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile app
Ameanza safari nawe unga mkono jitahada mkamilishe jambo lenu.Habari?
Wajameni naombeni msaada wa kimawazo. Kuna mwanaume ambaye anaonyesha dalili zote za kunihitaji kwenye mahusiano lakini hawezi kabisa kutamka kuwa ananihitaji anapokuwa hajanywa pombe.
Anapolewa anaweza kuongea chochote na kuahidi kila kitu. Ila pombe zinapomtoka, atabaki kufanya ishara za kawaida, kupiga simu, kutoka out nk ila Hakuna Jambo la kimahusiano mtakaloweza kuongea. Ukimuuliza hata juu ya plan yenu, atatoa ahadi kwamba mtaongea siku ingine ambapo atategemea akilewa ndipo apige sound.
Binafsi nimeshindwa kuelewa. Ninatafsiri kama mtu muongo ndio maana anatafuta confidence kwenye pombe. Ila angekua anatoa majibu toka moyoni, wala asingepata kigugumizi cha kusubiri kuelewa.
Nimeona mambo yasiwe mengi. Nimeamua aachane na Mimi na hadi sasa ameshindwa kuongea lolote. Ila ikitokea amekunywa, anapiga simu na kuanza kujitetea.
Ndugu zangu, mmewahi kukutana na watu wa aina hii? Na je hiki ninachofikiri Mimi kinaweza kikawa tofauti?
Nawasilisha
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Huyo jamaa angejua,akimbie Haraka Sana hapo sio sehemu sahihi
Msaidie kumtongoza kama kweli unampenda maana sisi wanaume ni dhaifu sana kwa wanawake na ni simple sana mwanamke kutuweka kitanzini , hakikisha unambananisha akiwa mzima ila tuu usimuharibie uvulana wake tuu kama wewe ni mpitaji,Habari?
Wajameni naombeni msaada wa kimawazo. Kuna mwanaume ambaye anaonyesha dalili zote za kunihitaji kwenye mahusiano lakini hawezi kabisa kutamka kuwa ananihitaji anapokuwa hajanywa pombe.
Anapolewa anaweza kuongea chochote na kuahidi kila kitu. Ila pombe zinapomtoka, atabaki kufanya ishara za kawaida, kupiga simu, kutoka out nk ila Hakuna Jambo la kimahusiano mtakaloweza kuongea. Ukimuuliza hata juu ya plan yenu, atatoa ahadi kwamba mtaongea siku ingine ambapo atategemea akilewa ndipo apige sound.
Binafsi nimeshindwa kuelewa. Ninatafsiri kama mtu muongo ndio maana anatafuta confidence kwenye pombe. Ila angekua anatoa majibu toka moyoni, wala asingepata kigugumizi cha kusubiri kuelewa.
Nimeona mambo yasiwe mengi. Nimeamua aachane na Mimi na hadi sasa ameshindwa kuongea lolote. Ila ikitokea amekunywa, anapiga simu na kuanza kujitetea.
Ndugu zangu, mmewahi kukutana na watu wa aina hii? Na je hiki ninachofikiri Mimi kinaweza kikawa tofauti?
Nawasilisha
Vile ameshajua mwamba anaitaka anasubiria kwahamu amtamkie na mwamba anazingua🤠
Kama wewe ulikuwa unampenda si ungemtongoza tu?Habari?
Wajameni naombeni msaada wa kimawazo. Kuna mwanaume ambaye anaonyesha dalili zote za kunihitaji kwenye mahusiano lakini hawezi kabisa kutamka kuwa ananihitaji anapokuwa hajanywa pombe.
Anapolewa anaweza kuongea chochote na kuahidi kila kitu. Ila pombe zinapomtoka, atabaki kufanya ishara za kawaida, kupiga simu, kutoka out nk ila Hakuna Jambo la kimahusiano mtakaloweza kuongea. Ukimuuliza hata juu ya plan yenu, atatoa ahadi kwamba mtaongea siku ingine ambapo atategemea akilewa ndipo apige sound.
Binafsi nimeshindwa kuelewa. Ninatafsiri kama mtu muongo ndio maana anatafuta confidence kwenye pombe. Ila angekua anatoa majibu toka moyoni, wala asingepata kigugumizi cha kusubiri kuelewa.
Nimeona mambo yasiwe mengi. Nimeamua aachane na Mimi na hadi sasa ameshindwa kuongea lolote. Ila ikitokea amekunywa, anapiga simu na kuanza kujitetea.
Ndugu zangu, mmewahi kukutana na watu wa aina hii? Na je hiki ninachofikiri Mimi kinaweza kikawa tofauti?
Nawasilisha
Pole sanaNilishawahi kuletewa demu nikiwa kidato cha nne na marafiki zake tena wakaniambia huyo anataka dudu.Gheto limesafishwa ,mashuka safi ,hakuna mtu.Kufika katoto kakajitupa kwenye kitanda paja nje nje.Mi nikabaki nimeganda kwenye kiti.Nilivyofala nikaishia kukauliza eti ule mpango vipi? toka saa 6 mchana mpaka saa 12 sijaongea kitu kingine.Kakaperuka kama kindege.
Miaka imepita.View attachment 2861243
Shukrani miaka mingi sana imepita.Pole sana
Embu mrahisishue kazi huyo domo zege kama nawe umemuelewa.Habari?
Wajameni naombeni msaada wa kimawazo. Kuna mwanaume ambaye anaonyesha dalili zote za kunihitaji kwenye mahusiano lakini hawezi kabisa kutamka kuwa ananihitaji anapokuwa hajanywa pombe.
Anapolewa anaweza kuongea chochote na kuahidi kila kitu. Ila pombe zinapomtoka, atabaki kufanya ishara za kawaida, kupiga simu, kutoka out nk ila Hakuna Jambo la kimahusiano mtakaloweza kuongea. Ukimuuliza hata juu ya plan yenu, atatoa ahadi kwamba mtaongea siku ingine ambapo atategemea akilewa ndipo apige sound.
Binafsi nimeshindwa kuelewa. Ninatafsiri kama mtu muongo ndio maana anatafuta confidence kwenye pombe. Ila angekua anatoa majibu toka moyoni, wala asingepata kigugumizi cha kusubiri kuelewa.
Nimeona mambo yasiwe mengi. Nimeamua aachane na Mimi na hadi sasa ameshindwa kuongea lolote. Ila ikitokea amekunywa, anapiga simu na kuanza kujitetea.
Ndugu zangu, mmewahi kukutana na watu wa aina hii? Na je hiki ninachofikiri Mimi kinaweza kikawa tofauti?
Nawasilisha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo mtu wakat wa kubalehe inatakiwa azoeane na jinsia tofaut na yake?Sio kweli. Hao wengi wao ni wale walioluka stage wakati wa kubalehe yaani yale mambo aliyotakiwa kuyafanya hatua za o-level kama kuzoeana na wanawake aliyaluka sasa ndo anakuja kuwa mtu mzima bado muoga wa wanawake hao watu wapo sana sana waliokulia shuleni za bweni za boyz tupu.
Tobaaaaaah wee.Mwanaume mwenye aibu kwa mwanamke ana vinasaba vya ushoga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ilikuajee, malizia storyNakumbuka Siku Moja Shuleni Head master Alikuwa anatoa Speech Na Shule Nzima (Form 1-6,Na Walimu ) Wapo Kimya Tunamsikiliza ,Katikati Ya Speech Discipline Master Akaenda Kumnong'oneza Kitu Head Master,Kukiwa Kumetulia Kimyaaaa Na Wanaendelea Kunong'onezana ,Nikaropoka Nikasema HATUSIKIIIIIIII!!
Sitasahau Kilichonikuta[emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu mna mambo, woiiiiNilishawahi kuletewa demu nikiwa kidato cha nne na marafiki zake tena wakaniambia huyo anataka dudu.Gheto limesafishwa ,mashuka safi ,hakuna mtu.Kufika katoto kakajitupa kwenye kitanda paja nje nje.Mi nikabaki nimeganda kwenye kiti.Nilivyofala nikaishia kukauliza eti ule mpango vipi? toka saa 6 mchana mpaka saa 12 sijaongea kitu kingine.Kakaperuka kama kindege.
Miaka imepita.View attachment 2861243
Pombe ni rafiki mzuri yale tusiyoyaweza uwa yuko tayari kusimama badala yetu .Habari?