Mwanaume mwenye nguvu ni yupi?

Mwanaume mwenye nguvu ni yupi?

Dogoli kinyamkela

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2024
Posts
618
Reaction score
1,440
MWANAUME MWEN
1732699634204.jpg
YE NGUVU NI YUPI.?

: Je ni yule anayenyanyua vyuma na kushinda gym?
: Je ni yule anayejua kunyanyua silaha za moto nakuelekea vitani,
Nakupigana vita vizuri?
: Je ni yule mwenye nguvu yule Rasta wa kwenye biblia,ambaye alikua nanywele zimesokotwa mafungu 7,Aliitwa SAMSON aliyepigana na kundi la wanaume 1000 kwa taya ya punda au mwanaume mwenye nguvu ni yupi?😎😎🥸
: Je ni yule anaweza kushindana na watu wakuu mashuhuri Kama Daudi,aliyepiga mtu wa miraba kwa kombeo na jiwe moja.?😉😎
: Au mwanaume mwenye nguvu ni yule mwenye uwezo na mamlaka na amri juu ya jeshi na kutawala wananchi kimabavu?🧐🧐
: Au ni yule mwanaume mwenye uwezo mkubwa wa kuhubiri,na kuongoza kundi kubwa la watu Kama wafuasi?🤠
: Au ni yule mwenye uwezo wa kifedha na nguvu ya kiuchumi?🧐🧐
: Je ni yule mwenye hekima na Akili Kama sulemani ?

Mwanaume huyo ni yupi?

Kwangu Mimi mwanaume mwenye nguvu ni yule,
Ambaye anaweza kulivua vazi la hisia na tamaa ya ngono kuongoza mwili.
Bali akaruhusu Akili itawale kwa kiwango kikubwa uongozi wa mwili katika mazingira yanayomzunguka.🤨

SAMSON: Kulingana na hadithi ya kitabu cha biblia,Samson ni mwanaume mwenye uhodari mwingi sana,
Uwezo mkubwa katika mapigano,lakini udhaifu wake ni mkubwa mno
Maana aliacha mapenzi na hisia zikafunga macho asione chochote juu ya hatari za mbeleni,
Akaruhusu masikio kuziba asisikie mabaya yajayo juu yake.
Hivyo ninao uhuru kabisa wa kusema Samson alikua mwanaume dhaifu sana mbele ya chupi ya Delilah..
Kwa mantiki hiyo ni kwamba mwanaume anayeweza kutumia akili na
Kuhoji juu ya mwanamke yeyote yule,huyo ni mwanaume mwenye nguvu kubwa kuliko samson mpumbavu wa mahaba aliyepelekea kutobolewa macho.🧐🧐

DAUDI: kulingana na hadithi ya kitabu cha biblia,Daudi ni mwanaume
Aliyekua hodari wa vita,na shujaa katika idara nyingi lakini alikua
Mpumbavu,tu mbele ya nyeti za wanawake maana aliondoa akili yake katika matumizi,maana kwa tamaa ya dakika chache hisia na
Ashki za ngono zilimfanya afanye mambo ambayo yaligharimu uhai wa watu wengine,,,kama huria mwenye haki na mkewe anakufa pasipo,hatia yote ni kutokana jamaa mmoja mpumbavu aliyekua juu ya dari,akamchungulia mwanamke akiwa anaoga...
Kosa hilo,likapelekea
Daudi,kuharibikiwa na vizazi,maana katika watoto wake,wapo waliokulana kuingiliana kinguvu,
Na mtoto wake mwingine kulala na mama yake,yaani mtoto wa daudi akalala na mkewe daudi juu ya dari,mbele za watu wote,kama vile mwanzo wa tamaa yake,ya kumtamani mkewe mtu.😇😇😇🥺

SULEMANI: Pamoja na Hekima na akili zake zote katika hili eneo,alikua mpuuzi wa mwisho na dhaifu tu...maana ilipekea kunyan'ganywa utawala juu ya makabila kumi,akabakiziwa makabila mawili,hivyo mwanaume ambaye anaweza kulivua vazi la tamaa mbaya ya ngono,na kutumia akili huyo mwanaume Ana nguvu sana..
Ndio maana kuishi na kiumbe mwanamke ni akili kamili isiyohusisha hisia na upofu kutumika.🥸🥸

HATA HII LEO.
Kuna baadhi ya huduma za watu mashuhuri zimeharibiwa na ubovu wa matumizi ya akili,wakaangushwa.
Wengine wamepokea Aibu nzito zisizofutika haraka kisa tamaa mbaya ya ngono.🧐🧐
Wako waimbaji wa nyimbo za injili,hawadumu katika ndoa zao,kisa tamaa zao,wanawavulia na kuwaonesha tupu zao wanaume wengine na kuwaacha waume zao....hayo ndio maanguko yao🤯🤯

YUSUFU,
Ni mwanaume mwenye nguvu nyingi ambaye katika hadithi ya biblia,Aliweza kuvua vazi la tamaa ambalo badala ya kupokea anguko Kama malipo Bali alipata ushindi na kua mkuu katika maeneo ya misri yenye uongozi wa farao.

DANIEL,
Ni mwanaume mwenye nguvu alitumia akili nyingi zaidi ya njaa na tamaa.

YESU WA NAZARETH,
Huyu hakutaka hata mazoea na kitu kinaitwa Demu,wala kua mtume wake au mwanafunzi mwanamke....🥸🥸🥸🥸

NGONO:
Ni ibada kamili inahusisha roho zilizovaa mwili wa kike,na wa kiume
Ambapo kutakua na mabadilishano ya vitu vingi ikiwamo vizuri na vibaya,kinyota, kilaana na kibaraka.
Mwanaume...unapokojoa ndani ya mwanamke
Inakua ni Kama unajiacha wewe au copy yako yaani nafsi yako.
Maana yake mwanamke kabla hajakutana na mwanaume yeyote,anakua ameambatana na wazazi wake
Huku kuambatana sio kule kuongozana,Bali ni ile bond...
Hivyo siku anavunjwa bikra na mwanaume anavunja bond ya wazazi wake anaambatana na huyu mwanaume,ndio maana hata akisemeshwa anakua Kama haelewi kitu.
Ndio maana ukiwa umeshalala na mwanamke hata Kama mtapoteana kwa muda kidogo ukimuona moyo unalipuka,ama Unashituka...
Haya maambatano hua hayafutiki ovyo.
Ndio maana kipindi hicho mwanamke aliyezini na mwanaume aliuwawa ili kuua ile bond ya mmoja wala sio kwasababu nyingine,
Mwanamke akisaliti na mwanaume mwingine,ni maana ya kwamba amefungulia mpaka wake wa kuingilika hivyo hata ukimfumania ataomba msamaha,ni kweli anaweza kua na nia ya kubadilika lakini utamwondoa vipi mtu ambaye yupo ndani yake kupitia shahawa alizommwagia?
Ndio atatulia kidogo lakini watatafuta njia nyingine ya kuendeleza,mambo yao.

Mwanaume tumia Akili yako,acha tamaa na ashki za hovyo unavuruga ndoa za watu,kwa tamaa zako unaingiza mikosi na laana zako kwenye familia za watu🥸🤨
Unapoteza baraka zako na kuziacha kwa wanawake ambao hawastahili kabisa🥸🥸 maana ni wake za watu.

MWANAUME
Acha Tamaa ya Ngono
Tunza nguvu zako na maono yako.

Content created by : Dogoli kinyamkela
 
MWANAUME MWENView attachment 3163112YE NGUVU NI YUPI.?

Nitakutumia vocha, umefanya kazi nzuri sana.
 
Picha ya kimti hicho ni kizuri sana,...
Watu wawili wanapendana kwa dhati wanastahili kukaa hapo chini yake...
Siyo mtu mwenye stress,michozi itakausha mti
 
Back
Top Bottom