Mwanaume mwenye nguvu za ajabu

Mwanaume mwenye nguvu za ajabu

Mmmmmh, naomba katika pita pita zangu za hapa duniani nisikutane nae, manake hata sauti yake lazima itakuwa inatisha, halafu kama ndo unajifanya unamkataa sijui inakuwa je yani.
 
Ah bwana unamuogopa nini si binaadamu tu kama wengine au!!!
 
Wanasema amekatazwa kufanya kazi yoyote sasa anaishije, au serikali inampa ruzuku!?
 
atakuvunja kama ile coin alivyoikata
Mmmmmh, naomba katika pita pita zangu za hapa duniani nisikutane nae, manake hata sauti yake lazima itakuwa inatisha, halafu kama ndo unajifanya unamkataa sijui inakuwa je yani.
 
atakuvunja kama ile coin alivyoikata

Kabisaa NR, hebu imagine ndo kwa bahati mbaya umeingia kwenye kumi na nane zake, linatoa hoja za nguvu kwa nini linakutaka, afu unajadia u know, u know......ha ha ha ha ha!!
 
Labda wangempa goti zingepungua hadi mara nane kwa siku !lol
 
Binadamu lakini mmmh. Huyu nimemuogopa bwana!!

Tehe! Tehe! Tehe! Dume la mbegu hilo si nasikiaga akina dada mnapenda mwanamume mwenye stamina kitandani sasa rijamaa rina stamina mpaka majogoo.
 
Mmmm tuko tofauti bwana, mi sipendi mikesha ya hivo aisee.
 
hivi ingekuwa mwanamke ndio ana hizi nguvu ingekuwaje ?? :behindsofa:
 
niko kifalsafa zaidi...junior member hapaaa...hawa nadhani ni vingozi wengi waafrika wanaoongoza vibayaaa ok kama kweli ni njemba ipo.... people we differ kama ilivyo katika mambo mengi na nadhani wake wote wanalala chumba kimoja hapo hakuna hata kuzuia treni maana huku kwetu no usafiri wa treni au yeye ndio kalizui hapo kati.....na ukweli sarafu hazina maisha ni hasara kwa taifa lake.
 
Mkuu,

Hueleweki nini unataka kusema. Unaweza kuirekebisha post yako?
 
niko kifalsafa zaidi...junior member hapaaa...hawa nadhani ni vingozi wengi waafrika wanaoongoza vibayaaa ok kama kweli ni njemba ipo.... People we differ kama ilivyo katika mambo mengi na nadhani wake wote wanalala chumba kimoja hapo hakuna hata kuzuia treni maana huku kwetu no usafiri wa treni au yeye ndio kalizui hapo kati.....na ukweli sarafu hazina maisha ni hasara kwa taifa lake.

we need psychiatric help
 
Wanasema amekatazwa kufanya kazi yoyote sasa anaishije, au serikali inampa ruzuku!?

Hili ni swali muhumu sana mkubwa, wala hawa waandishi hawajamuuliza anaishije bila kufanya kazi. Halafu ikitokea siku moja wake zake wote wameenda kusalimia Mars anafanyaje?
 
Back
Top Bottom