Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ah bwana unamuogopa nini si binaadamu tu kama wengine au!!!Mmmmmh, naomba katika pita pita zangu za hapa duniani nisikutane nae, manake hata sauti yake lazima itakuwa inatisha, halafu kama ndo unajifanya unamkataa sijui inakuwa je yani.
Mmmmmh, naomba katika pita pita zangu za hapa duniani nisikutane nae, manake hata sauti yake lazima itakuwa inatisha, halafu kama ndo unajifanya unamkataa sijui inakuwa je yani.
?????rostam huyo
Chapakazi si mwenzio.
dah....huyu jamaa si hata risasi inadunda pale?......l.o.l
atakuvunja kama ile coin alivyoikata
Ah bwana unamuogopa nini si binaadamu tu kama wengine au!!!
:clap2::clap2::clap2::first:
Binadamu lakini mmmh. Huyu nimemuogopa bwana!!
Tehe! Tehe! Tehe! Dume la mbegu hilo si nasikiaga akina dada mnapenda mwanamume mwenye stamina kitandani sasa rijamaa rina stamina mpaka majogoo.
Mmmm tuko tofauti bwana, mi sipendi mikesha ya hivo aisee.
niko kifalsafa zaidi...junior member hapaaa...hawa nadhani ni vingozi wengi waafrika wanaoongoza vibayaaa ok kama kweli ni njemba ipo.... people we differ kama ilivyo katika mambo mengi na nadhani wake wote wanalala chumba kimoja hapo hakuna hata kuzuia treni maana huku kwetu no usafiri wa treni au yeye ndio kalizui hapo kati.....na ukweli sarafu hazina maisha ni hasara kwa taifa lake.
niko kifalsafa zaidi...junior member hapaaa...hawa nadhani ni vingozi wengi waafrika wanaoongoza vibayaaa ok kama kweli ni njemba ipo.... People we differ kama ilivyo katika mambo mengi na nadhani wake wote wanalala chumba kimoja hapo hakuna hata kuzuia treni maana huku kwetu no usafiri wa treni au yeye ndio kalizui hapo kati.....na ukweli sarafu hazina maisha ni hasara kwa taifa lake.
Wanasema amekatazwa kufanya kazi yoyote sasa anaishije, au serikali inampa ruzuku!?