Mwanaume mwenye uhitaji wa wanawake wengi, hana furaha yeye mwenyewe

Niliposoma ndani afu nikarudi juu kuangalia aliyeandika mashudu haya nikakuta anajiita MALKIA basi nimejuta kupoteza muda wangu kusoma huu uzi.kila mtu asimamie na kushikilia kile kinachompa raha,tusipangiane formula ya kuishi
 
ubinafsi tu umekujaa. kama mitume na wafalme walioa wake wengi why upinge
na wewe ni mwanamke tunaomba usitusemee sisi wanaume
furaha tunapata sisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…