SI KWELI Mwanaume mwenye vipele vidogo kwenye kichwa cha uume hawezi kupata UKIMWI na magonjwa ya zinaa

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
We sema tu ulipata kichocho; hali ya mkojo kutoa damu ndo nini!!!
 
Kuna ukweli hapa, Kwa umri huu wa 42yrs sijawahi Hata kuumwa mkojo mchafu Wala gono Wala muwasho kichwani, na nazichakata kwelikweli😊
Ongeza speed ya kuzichakata sisi tunasubiri uje na majibu kuwa sasa una meza azuma😂😂😂
 
Sikuwahi kujua kama kuna wanaume wenye vipele na wengine hawana. Ndio leo najua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…