Mwanaume mwenye wivu unaishi naye vipi?

Kumbe mnajua ila mnajifanyaga manunda sio
Mwanaume ni lazima aheshimiwe aise hiyo haipingiki.

Sasa huyu mleta mada anataka yeye mwanamke ndo ampende mwanaume we ulisikia wapi.

Mwanamke ukimtii mume wako ni lazima akupende haijawahi kuepukika.

Hayo mengine Yanayotokea ni katika hali ya binadamu na hayaepukiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…