Mwanaume mwenye wivu unaishi naye vipi?

najaribu kujibu hiyo πŸ‘†

mpe papuchi bila masharti.
Usimuombe pesa(aka mizinga)simu isiharibike ghafla,nywele zisifumuke ghafla,usidaiwe kid ya nyumba ghafla..na mengine yafananayo na hayo.

Inasemekana lakini
Hahah haya ndio maelekezo sahihi, kuna kenge uchi haitoi ila inategemea kuvuna hela za saluni na nguo sasa unajiuliza imenionaje hii pimbi? Yani nihudumie bila kupiga mbichi asalalaa!
 
Wivu mmbaya jamani ulinitesa sana yani sema tu mazingira ya wivu yanatokana na mtu uliyepo nae. Kama mapepe flani lazma utashikwa na wivu tu hasa kama unampenda vizuri.

Wivu unatokana na kupenda possession. Ukikipenda kitu vyema utataka ukiwekee ulinzi kisitoke mikononi mwako, threat ya kupoteza mpenzi inakuwepo kama huyo mpenzi hajielewi! Katika kuweka guard basi ndo unapitia hio hali ya wivu... Vipo vya kushea ila si mapenzi!
 
Habari.

Uzi huo unajieleza nipendi mbinu za kuishi na mwanaume mwenye wivu na pia ni jinsi gani utamfanyia mwanaume wako ili azidi kukupenda?
Onyesha heshima kwake, na pia uwe mtu mzuri sana katika mawasiliano. Kama unaenda mahali, umwambie kabisa ni wapi. Kama kuna mwanaume atakuwepo hapo unapoenda labda kukutana kikazi nk, alijue hilo pia na umwambie majina au jila la mwanaume huyo na sababu ya kukutana. Mawasiliano ni heshima kubwa. Na itafanya asiwe anawaza waza sana.
 
wanaume wenye wivu hupenda mwanamke muwazi asietengeneza mazingira tata kwenye mahusiano/ndoa, mweke wazi jambo lolote unalohisi usipomwambia then akalijua litaleta utata na kupelekea ugomvi
Ni kweli kabisa, wivu huanziaga kwenye trust issues tu! Yani pakiwa pana tatizo tu la uaminifu jua wivu ndio huchipukia hapo sasa. Hali huwa mbaya kama wewe mwenye wivu ni muaminifu sana na unamthamini zaidi mwenzio.

Imagine siku unacheza na simu ya wife wako unakuta anatongozwa na muhuni japo ni kawaida ila mke wala haoneshi response ya wasiwasi kuwa ni mke wa mtu anajichekelesha tu kana kwamba yuko single. Ukitazama muelekeo ni kwamba huyo mwanamke ameshajiweka tayari kuliwa. Lazma utashikwa na hasira na wivu utaibuka kwa kasi.

Hapo ndipo watu wanapoanza kuchungulia nani anapiga nani anatuma sms, unakuta nafsi inahangaika wee...Mke ame breach trust, what to do ni ajenge trust upya kwa kuwa very open.
 
Yah kinacholeta wivu ni breach of trust. Yani iko hivyo, unamuamini mtu kumbe sio anafanya mambo ya ajabu behind your back. Ukisanuka tu wivu lazma uwe debe.
 
Uko sawa kabisa.

Hivi heshima na utii wa mke kwa mumewe ni lazima sana. Hakuna namna ingine zaidi ya kupendwa tu.

Kinginecho ni uwazi, hii ndio dawa ya kutibu wivu! Ukiona patner wako ana wivu basi jua hujamfanya kuwa comfortable enough akaku trust! Inshort:
Wivu= Sikuamini

Insecurity inatokana na nini?
 
Hapa umemaliza, maana mie ni muhanga wa ugonjwa wa wivu ila mara zote nilipojawa na hisia za wivu ni pale nilipoona mwanamke niliye naye nampenda na kumjali ila beki hazikabi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Yani unaona kabisa bila kuwa linesman soon mtoto analiwa kwahio unaanza kum monitor kila step maana ameonesha hawezi kujisimamia kama mke wa mtu. Yeye akitongozwa anatoa ushirikiano kitu ambacho sicho yani...Mwanamke mzuri ni yule ambae ana misimamo thabiti na haachi goli wazi ili wadau wajishindie tu wanavyotaka.

Suluhu ni uwazi, heshima na utiifu. Mwanaume anapata wivu akipenda malaya ila sio kwa mwanamke anaejitambua akipendwa kwa dhati. Janamke linajirahisisha halafu linashangaa kidume ukiwa na wivu...kazi kushoboka tu.
 
[QUOaTE="Extrovert, post: 37670325, member: 355305"]
Ni kweli kabisa, wivu huanziaga kwenye trust issues tu! Yani pakiwa pana tatizo tu la uaminifu jua wivu ndio huchipukia hapo sasa. Hali huwa mbaya kama wewe mwenye wivu ni muaminifu sana na unamthamini zaidi mwenzio.

Imagine siku unacheza na simu ya wife wako unakuta anatongozwa na muhuni japo ni kawaida ila mke wala haoneshi response ya wasiwasi kuwa ni mke wa mtu anajichekelesha tu kana kwamba yuko single. Ukitazama muelekeo ni kwamba huyo mwanamke ameshajiweka tayari kuliwa. Lazma utashikwa na hasira na wivu utaibuka kwa kasi.

Hapo ndipo watu wanapoanza kuchungulia nani anapiga nani anatuma sms, unakuta nafsi inahangaika wee...Mke ame breach trust, what to do ni ajenge trust upya kwa kuwa very open.
[/QUOTE]
right
 
Hawa watu uwaga hawajui sa nyingine wivu wetu una maana kwamba wao ndo wana mawenge yaani unamuangalia mtu unaona kbs huyu akikutana na mtongozaji mzuri sijuiiiiiii

Sasa unakuwa km unalinda flani na hii inatokea ukiwa hutaki kumpoteza [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Wao wanabakia punguza wivu wakati sisi tushampima tunaona hapa bora niwe na wivu tu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
😊😊πŸ₯‚πŸ₯‚
 
Hahah haya ndio maelekezo sahihi, kuna kenge uchi haitoi ila inategemea kuvuna hela za saluni na nguo sasa unajiuliza imenionaje hii pimbi? Yani nihudumie bila kupiga mbichi asalalaa!
πŸ˜…πŸ˜…unavyopenda mada za kuchakata papuchi bila hela sasaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
πŸ˜…πŸ˜…unavyopenda mada za kuchakata papuchi bila hela sasaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Kwani we unapenda hela bila kuchakatwa, hayo mambo yanapatikana ulaya tu.
 
Weee nisipende fweza Nina matatizo gani kwani.
Kupewa pesa ndipo uchakatwe huko ni kufanya biashara sijui unaelewa basta!

Sisi hapa tunazungumzia mapenzi ujueπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Kwani we unapenda hela bila kuchakatwa, hayo mambo yanapatikana ulaya tu.
 
😘😘😘

Tuache utani na masihara pembeni.
Mwanaume ukimheshimu,vitu vingi tutafaidi kutoka kwao
Ni kweli kabisa. Ukimheshimu Mwanamume Ni kwa faida yako wewe Mwanamke. Tupunguze ujuaji.... !!! Mapenzi Matamu Jamani. Kupendwa RahaaaaaaπŸ˜„ Napendwa MieeeeπŸ˜‚
 
Weee nisipende fweza Nina matatizo gani kwani.
Kupewa pesa ndipo uchakatwe huko ni kufanya biashara sijui unaelewa basta!

Sisi hapa tunazungumzia mapenzi ujueπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Kanuni ni ile ile...Ukitaka kula sharti ukubali kuliwa! Sasa we unataka kula bila kuliwa? Haiwezekani!~ J. Kikwete

Translation:
Ukitaka hela lazma ukubali kuchakatwa kwanza. Huwezi kula hela ya mtu bure bure.

Kuhusu biashara ndipo hali ilipofikia sasa. Wanawake wengi wanatuuzia mapenzi kama machangu tu tofauti ni kwamba mfumo wao sio wa kujipanga barabarani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…