Mwanaume mwenzetu katu aibisha hapa, ingawa hisia hazifichiki ila kakosea sana

Haha wangekuja kinafiki ila
Mishe mishe zao watabaki wazazipiga kwa bila kujua.
Hapo nishajua sasa mimi wanidekeze tu na mizawadi ila wao waendelee tu 😅😅😅😅😅😅😅 ila itabidi na mimi nitafute kipozeo 😅
 
Hio ndoa muvunje sasa
Mnakomoana au😅 haya mambo ya kuoa/ kuolewa... mke/mme wa mtu ndio matatizo haya yanatokea.
 
Wadada kama Latifa ni sumu kwenye ndoa 😅😅anawapelekesha wote wawili kwa wakati mmoja 😅😅😅😅sasa Dawa yao ni kujifanya hujui.
 
Back
Top Bottom