Break Time
JF-Expert Member
- Dec 23, 2014
- 283
- 500
Kama nimemwelewa bwana harusi anasema huyo aliemkumbatia ni dada yake, kuna shida hapo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio wa damu🤣Kama nimemwelewa bwana harusi anasema huyo aliemkumbatia ni dada yake, kuna shida hapo?
Ila jamaa anajua kuchagua pisi, au ni make up za bi harusi zimenichanganya, biharusi naona ana hips na chura ipo, hata aliekumbatiwa nae ana churaWife kafyuum kinoma😂
Ila mm nina wazo tofauti, nahisi bwana harusi ni mwanaume player, si unaona shepu ya pisi zilizomzunguka Under-coverMkuu nimeona aibu sana, nilimtafakari sana jamaa, hata kuhisi anamuumiza bidada hapo.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Kwahio huenda mwamba ni Baltazar Engonga wa mwendokasiIla jamaa anajua kuchagua pisi, au ni make up za bi harusi zimenichanganya, biharusi naona ana hips na chura ipo, hata aliekumbatiwa nae ana chura
Kujumlisha na kutoa unaeza Kuta bwana harusi anapenda wadada wenye makalio, na inasemekana wanaume wanaopenda wanawake wenye makalio makubwa, wengi ni mamende, hivyo unaeza Kuta bwana harusi ni mende, oooohshh Extrovert mzabzab Mzee wa kupambania BRAZA CHOGO
Mule muleIla mm nina wazo tofauti, nahisi bwana harusi ni mwanaume player, si unaona shepu ya pisi zilizomzunguka Under-cover
Ebu nielswesheni sijaelewa happo kapigaje vile?
🤣🤣 em rudia kuangalia.Ebu nielswesheni sijaelewa happo kapigaje vile?
😆😆😆
Mwee nimerudia mara nne bado kichwa changu cha panzi kimeshindwa ng'amua mambo.🤣🤣 em rudia kuangalia.
Bwana harusi ni jinga
Unawaza mbususu tu 🤣Mwee nimerudia mara nne bado kichwa changu cha panzi kimeshindwa ng'amua mambo.
Kwani huyo wa red ni nani?
Duh hatari kumbe huyo ex wake wanakumbatiana mbele ya wife.Unawaza mbususu tu 🤣
Iv unaweza mfanyia wife wako ivyo kwa kumwitia ex wako na full ma emotions.
Kama ni hivyo basi hii ligi bado mbichi dada atataka anufaikeSio wa damu🤣