Mwanaume mwenzetu katu aibisha hapa, ingawa hisia hazifichiki ila kakosea sana

Haha wangekuja kinafiki ila
Mishe mishe zao watabaki wazazipiga kwa bila kujua.
Hapo nishajua sasa mimi wanidekeze tu na mizawadi ila wao waendelee tu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… ila itabidi na mimi nitafute kipozeo πŸ˜…
 
Hapo nishajua sasa mimi wanidekeze tu na mizawadi ila wao waendelee tu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… ila itabidi na mimi nitafute kipozeo πŸ˜…
Hio ndoa muvunje sasa
Mnakomoana auπŸ˜… haya mambo ya kuoa/ kuolewa... mke/mme wa mtu ndio matatizo haya yanatokea.
 
Hio ndoa muvunje sasa
Mnakomoana auπŸ˜… haya mambo ya kuoa/ kuolewa... mke/mme wa mtu ndio matatizo haya yanatokea.
Wadada kama Latifa ni sumu kwenye ndoa πŸ˜…πŸ˜…anawapelekesha wote wawili kwa wakati mmoja πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…sasa Dawa yao ni kujifanya hujui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…