Mwanaume mwenzio kukwambia weekend hii nikutoe out ni sahihi?

Diddy ni mchafu kweli kweli kapita na wasanii wakiume wengi sana aisee naskia hata hapa bongo kuna mwanamuziki alienda kwenye party za diddy na akasema kwa mdomo wake kwamba walifanya mambo ambayo hawezi kuyataja hadharani.
Atajwe huyo msaniiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mwanangu ungeuponza
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ko ukawaza wana date? Kwann usiwaze ni marafiki walioshibana?
Wange share spirit sio wine au basi wangenunua hata bia kila mtu ya kwake.

Wine!!, kabisa wanaume wawili wana-share, hii naona haiko sawa kwakweli.
 
Wange share spirit sio wine au basi wangenunua hata bia kila mtu ya kwake.

Wine!!, kabisa wanaume wawili wana-share, hii naona haiko sawa kwakweli.
Haiko sawa kwako wee! Sio kwa wenginee.
Hata wee kuna unavyoona ni sawa, ila kwa wengine sio sawa.

C unajua tumetofautianaa bwasheeee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanaume huwa tuna kauli zetu

Oyaa wanangu twendeni tukale bata weekend hii mahali fulani

Kama hivyo. . .

Oya ninja weekend hii tugumiane maeneo tukate maji, kama hivyo
 
Wanaume huwa tuna kauli zetu

Oyaa wanangu twendeni tukale bata weekend hii mahali fulani

Kama hivyo. . .

Oya ninja weekend hii tugumiane maeneo tukate maji, kama hivyo
Ndo hivyo kabisa. Mfano huku tushazoea kusema oyaah weekend hii tunaenda kuturirisha maji sehem fln au kiwanja kile. Ama Bata. Ukisema hivo hata shati nalivaa huku natembea kuelekea site mbio mbio
 
tulia utolewe dinner na beste wako
 
Statement haijakaa vizuri, haijakaa kwa me vs me hata kidogo. Me anitoe out ndio kitu gani hicho.
 
Haiko sawa kwako wee! Sio kwa wenginee.
Hata wee kuna unavyoona ni sawa, ila kwa wengine sio sawa.

C unajua tumetofautianaa bwasheeee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila ni kweli, wanaume wa skotland wanavaa visketi na wanaheshimika πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…