Mwanaume mzima kumkuta akiwa Serious na Katulia kabisa anasikiliza Simulizi za Veronica Frank wa EFM Radio ni Aibu mno

siku za wanaume wa kweli zimeisha sio sawa mwanaume kukaa kufanya mambo ya ajabu lakin tuheshimu Uhuru wa watu
 
Mkuu swala la ushoga ni ukosefu wa maadili kama ilivyo uzinzi uabakaji uwizi udokozi kiufupi mzazi asipolea vyema namaanisha vyema basi huyo mtoto kuiga mambo yasiofaa ni kawaida, muda mwingine mzazi anasema nimelea vizuri kumbe kapofushwa na yale mapenzi yake kwa mwanae haoni wapi anakosea akiharibika ndio analalamika nimekulea vizuri umeharibika.

Hivyo sisi tulio wazazi tujitahidi kulea kwenye misingi tuliokulia kuepuka kuiga mambo yasio faa
 
Wameharibu hiki kipindi baada ya kumleta huyu Veronica Frank. Kipindi cha nyuma ilikuwa wahusika wenyewe wanasimulia harakati za maisha waliyopitia na ilikuwa kipindi kizuri tu.
 
Wameharibu hiki kipindi baada ya kumleta huyu Veronica Frank. Kipindi cha nyuma ilikuwa wahusika wenyewe wanasimulia harakati za maisha waliyopitia na ilikuwa kipindi kizuri tu.
Sikuwahi kufiatilia hadi pale rafiki yangu alipopata mchongo na yeye wa kuibgiza sauti yake kipindi hicho watu wanasimulia kama “wahusika wa story”…

Anachukuliwa mtu yyte anyejuwa kusoma vizuri anapewa script asome huku wana record
Producer ana edit sound vizuri
Kipindi kinaruka hewani..!
So hizo saiti ulizokuwa ukizisikia ni za watu tu amabao they have nothing to do na hizo story..

Sasa hivi mtangazaji ndio anasoma script
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…