GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #21
Ingefanana na Sura yake ingependeza mno.Ana sauti nzuri yule dada
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ingefanana na Sura yake ingependeza mno.Ana sauti nzuri yule dada
Una kipi Cha kuwafanya? Maana wapo kibao mitaaniKwa hiyo hata mashoga ni waachwe?
Halafu usiwalenge mashoga tu Kuna wazinzi na waasherati mbona hukemei? Kama wewe ni mzinzi au muasherati huna tofauti na huyo shogaKwa hiyo hata mashoga waachwe?
Waliopo kwani wanafanywaje mbona wapo huru tena muda mwingine wanajionyesha kabisa na jamii ipo kimya hakuna katazo wala hatua zichukuliwazoKwa hiyo hata mashoga waachwe?
Mkuu swala la ushoga ni ukosefu wa maadili kama ilivyo uzinzi uabakaji uwizi udokozi kiufupi mzazi asipolea vyema namaanisha vyema basi huyo mtoto kuiga mambo yasiofaa ni kawaida, muda mwingine mzazi anasema nimelea vizuri kumbe kapofushwa na yale mapenzi yake kwa mwanae haoni wapi anakosea akiharibika ndio analalamika nimekulea vizuri umeharibika.Sijui kwanini umeamua kutolea mfano eneo hilo, ila fikili familia, inafurahia kupata mtoto wa kiume, Baba anamtayarisha kujitegemea kama mwanamme. anampangia mipango ya kuishi kama mtoto wa kiume, alafu mtoto wako anahudumia wanaume wenzie, kama mwanamke.
Ndugu wa huyu shoga itakua hawajaathiliwa, hata hivyo hujawahi sikia habari, za mashoga kutongoza wanaume.
Kwa hiyo hata mashoga ni waachwe?
Sikuwahi kufiatilia hadi pale rafiki yangu alipopata mchongo na yeye wa kuibgiza sauti yake kipindi hicho watu wanasimulia kama “wahusika wa story”…Wameharibu hiki kipindi baada ya kumleta huyu Veronica Frank. Kipindi cha nyuma ilikuwa wahusika wenyewe wanasimulia harakati za maisha waliyopitia na ilikuwa kipindi kizuri tu.