Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,226
- 8,879
Mambo ya zuchu hayo🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unakulaje hivo vitu, kwani bangi hamna??Kuna ubaya kula ice cream kwa mwanaume
🤣🤣🤣🤣 Hii dhana haifai kabisa, zamani niliogopa sana.Unakulaje hivo vitu, kwani bangi hamna??
We una busara sana.. imba tu haujakatazwaThat's a stupid argument. It's called Toxic Masculinity.
Kwanini mwanamke akiimba wimbo wa Fid Q it's fine tena anasifiwa lakini mwanaume akiimba wimbo wa Zuchu anasemwa?
Mwanamke akipapaswa tako ni kawaida tu, leta na wewe la kwako tulipapase basi.That's a stupid argument. It's called Toxic Masculinity.
Kwanini mwanamke akiimba wimbo wa Fid Q it's fine tena anasifiwa lakini mwanaume akiimba wimbo wa Zuchu anasemwa?
Mwanamke akipapaswa tako ni kawaida tu, leta na wewe la kwako tulipapase basi.
Acha ujinga mnaojazwa na wazungu eti mwanamke na mwanaume sawa. Hakuna usawa kati ya mwanaume na mwanamke, kuanzia walivyoumbwa hadi pyscology yao. Wewe kama unataka kuwa sawa na mwanamke ukipanda daladala ukakuta imejaa omba uwe unapakatwa na wanaume wenzio. Kama huliwezi hilo basi jua ni upuuzi kwa mwanaume kuimba anampatia sukari mwanaume mwenzie.
inasikitisha mwanaume kupata muda wa kuandika mada ndeeefu jamiiforums, ukinung'unika juu ya watu wa aina hiyo. kwa maana mada hii ndefu ingependeza ingekuwa juu ya jambo lenye manufaaKama mwenyekiti wa Chama cha Wanaume Wa Shoka Tanzania nasikitishwa sana na hali ya hivi sasa ya baadhi ya wanaojiita wanaume, unakuta mwanaume kabisa kafungulia radio na anacheza kabisa kwa kujitikisa anaimba "Sukari nampatia tena"....tena akiwa anasema hivyo nakuambia analegeza macho na kujilamba midomo...hapo kashika Ice cream anailamba lamba, suruali imechanika chanika ( wanasema fashion) huku kaishusha chini ya makalio..
Hawa ndio WAUME watarajiwa, jamani wanawake mnaolewaje na wanaume wa namna hii? Tena mwanaume anauimba wimbo huo beti zote kwa ustadi wa hali ya juu kabisa ..zaidi ukiwakuta wanabishania " kusutana" wao kwa wao kuhusu Nandy na Zuchu nani bora unaweza kushika kichwa kwa mshangao. Kama mwenyekiti nimesikitishwa na hii hali.
Sasa ndio mana wanawake wanatafutana wao kwa wao sasa mana wanaona wanaume wenyewe ndio sisi tunaimba "Sukari nampatia tena" , wafanyaje? Nasema msikate tamaa warembo, wanaume wa shoka tupo sema ni ngumu kutujua inabidi uingie chimbo haswa kutujua.
Nawapa pole wanaume wa dizaini hio niliyoisema, mnatia AIBU SANA.
Mkuu,😂😂😂 Mkuu naskia Chama chenu bado hakijasajiliwa kisa sababu hela ya usajili ef 5 mmeshindwa kuchanga