Mwanaume mzima unaimba "Sukari nampatia tena", kweli?

Unakulaje hivo vitu, kwani bangi hamna??
🤣🤣🤣🤣 Hii dhana haifai kabisa, zamani niliogopa sana.

Mpaka leo kuna vijana wanatembea wanakula bigbom(lilipop) hadharani hii imekaaje
 
That's a stupid argument. It's called Toxic Masculinity.

Kwanini mwanamke akiimba wimbo wa Fid Q it's fine tena anasifiwa lakini mwanaume akiimba wimbo wa Zuchu anasemwa?
 
That's a stupid argument. It's called Toxic Masculinity.

Kwanini mwanamke akiimba wimbo wa Fid Q it's fine tena anasifiwa lakini mwanaume akiimba wimbo wa Zuchu anasemwa?
We una busara sana.. imba tu haujakatazwa
 
That's a stupid argument. It's called Toxic Masculinity.

Kwanini mwanamke akiimba wimbo wa Fid Q it's fine tena anasifiwa lakini mwanaume akiimba wimbo wa Zuchu anasemwa?
Mwanamke akipapaswa tako ni kawaida tu, leta na wewe la kwako tulipapase basi.

Acha ujinga mnaojazwa na wazungu eti mwanamke na mwanaume sawa. Hakuna usawa kati ya mwanaume na mwanamke, kuanzia walivyoumbwa hadi pyscology yao. Wewe kama unataka kuwa sawa na mwanamke ukipanda daladala ukakuta imejaa omba uwe unapakatwa na wanaume wenzio. Kama huliwezi hilo basi jua ni upuuzi kwa mwanaume kuimba anampatia sukari mwanaume mwenzie.
 
Cheki ulivyokasirika 😂😂.

Yaani ukishaanza kuona unakasirika kisa mtu anaimba wimbo anaoupenda ujue una mawazo "shallow" sana. Ukute unaishi kwa shemeji wewe hata maji ya kunywa unanunuliwa ndo maana unapata muda wa kukasirishwa na vitu vya ajabu ajabu.

Uwezi ukakuta mtu serious anayefurahia na kufocus kwenye vitu vyake anakasirika eti kisa mtu anaimba wimbo wa zuchu? How does that affect you? Au inasababisha TZ tusiingie kwenye uchumi wa kati?

Masuala ya Kushika m*k*lio utashikwa tu hata uwe unasikiliza nyimbo za Eminem na Tupac.

Kwa kumalizia, kwa ujinga ulioandika hapo juu basi nadhani watayarishaji wote wa mziki wanashikwa m*k*lio kwa sababu wenyewe ndo wanaandaa hizo nyimbo na kutoa mawazo na wanazisikiliza sana kabla hazijatoka.

Acha ujinga usitafute sifa kuonekana wewe mwanaume sana humu jukwaani. No one knows you here & nobody cares. Start living happy life acha kukasirishwa na vitu vya ajabu ajabu.

Ni hayo tu
 
inasikitisha mwanaume kupata muda wa kuandika mada ndeeefu jamiiforums, ukinung'unika juu ya watu wa aina hiyo. kwa maana mada hii ndefu ingependeza ingekuwa juu ya jambo lenye manufaa
 
inasikitisha mwanaume kupata muda wa kuandika mada ndeeefu jamiiforums, ukinung'unika juu ya watu wa aina hiyo. kwa maana mada hii ndefu ingependeza ingekuwa juu ya jambo lenye manufaa
Naona imewachoma mnaolamba midomo
 
Ole na genge lake wanaukariri huu wimbo ili kuuimba siku ya Alhamis
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…