Mwanaume mzima unakula chipsi kuku unaacha dona na mihogo


Ukiacha wivu nitakupa siri
 
hivi nchi za ulaya wanakula makuku brioler na hizo chips na unakuta ana watoto hata sita, watoto wao wana akili kila siku wanafanya mapinduzi ya kisayans wanatoa wachezaji bora katika kila mchezo wanatoa wanajeshi bora kila leo sisi huku tunakula vyakula vigumu lakini ndo hakuna maendeleo ki michezo kielimu kitechnolijia shida hii imekaaje mkuu?
 
We kula unachokipenda tu. Huo ugali wa dona watu walikula tu kwasababu ya shida sio kwasababu ndio chakula bora. Unga wa dona manake ni unga wa msaada (donor) ulioletwa kipindi cha njaa ili tujaze matumbo haraka. Hakuna mtu aliesema ni mzuri kwa afya ya binadamu.
 
Sembe na mihogo ni vyakula vya kujaza tumbo tu na kutengeneza vitambi kama hufanyi kazi nzito za kutumia nguvu nyingi za mwili.
 
Leo umeamua kulisema lile kundi kwa walipo Dar 🤣🤣🤣🤣🤣
 

Kwenye samaki hapana, most of samaki source zake huzijui, wengine wanafugwa na kupewa kemikali zinazowakuza haraka , na kupelekea kesi za kansa kutoisha.
 
Bora boss wangu umesema ukweli heshima kwako mkuu
Ni chakula cha kumfanya mtu ashibe, kililetwa kwetu mhususi sababu hatukuweza mudu milo 3

Ndo maana hutakuta wazungu wanakula ugali.

Wao utawakuta wanatumia

Oats, corn syrups, corn oil, weetabix, corn flakes etc.


Mahindi mengi hulisha wanyama.


Watanzania wengi wanaojisifia kula ugali hawali ugali wa lishe.


Kwa kawaida ugali ni wanga hutakiwi kula mwingi kama hufanyi kazi ngumu


Chips ni nzuri endapo utapika mwenyewe kwa mafuta safi, sio haya mafuta ambayo unakuta yameungua hadi kuwa meusi
 
Victor wanyama aliambiwa ugali haua faida yoyote kwenye mwili hasa Kwa mtu wa mazoezi akiwa spurs 😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…