Mwanaume mzima unakula chipsi kuku unaacha dona na mihogo

Mwanaume mzima unakula chipsi kuku unaacha dona na mihogo

Unakutana na mwanaume mtu mzima na midevu yake anamwambia muuza chipsi "mayai yasikauke Sana alafu weka mayonaizi na soseji mbili" naishia kujiuliza hivi huyu akitoka hapa anawezaje kuchakata mbususu kwa mkewe?

Food industry ni moja ya silaha hatari Sana inayomwangamiza mwanaume kimya kimya.

Ukiacha wivu nitakupa siri
 
Mungu tunusuru wanaume tumebaki wachache sana, foleni kubwa ya wadada wanasubiri na kuweka odder za chips Yai na kuku ghafla unakuta likidume lipo katikati ya wanawake nalenyewe linasubili chipsi [emoji848]

Mkigongewa wake zenu mnafoka nakati mnayataka wenyewe, mwanaume kula ugali wa dona na samaki wakuchemsha, gonga mihogo mibichi, nazi na karanga wa kutosha sio kula bugger na piza sijui bufee magonjwa hayooo unauwa nguvu zako za kiume

Wanaume tuache kula vya kula vya kike
hivi nchi za ulaya wanakula makuku brioler na hizo chips na unakuta ana watoto hata sita, watoto wao wana akili kila siku wanafanya mapinduzi ya kisayans wanatoa wachezaji bora katika kila mchezo wanatoa wanajeshi bora kila leo sisi huku tunakula vyakula vigumu lakini ndo hakuna maendeleo ki michezo kielimu kitechnolijia shida hii imekaaje mkuu?
 
We kula unachokipenda tu. Huo ugali wa dona watu walikula tu kwasababu ya shida sio kwasababu ndio chakula bora. Unga wa dona manake ni unga wa msaada (donor) ulioletwa kipindi cha njaa ili tujaze matumbo haraka. Hakuna mtu aliesema ni mzuri kwa afya ya binadamu.
 
Sembe na mihogo ni vyakula vya kujaza tumbo tu na kutengeneza vitambi kama hufanyi kazi nzito za kutumia nguvu nyingi za mwili.
Mkuu tulizaliwa tukakaririshwa hivyo sikatai.

Lakini tuliposoma na kuelimika, tukaja gundua kuwa kumbe mahindi (maize meal), yawe ni unga wa sembe ama dona ndiyo chakula chenye thamani ya chini kabisa kuliko vyote katika vyakula vya mazao ya nafaka!

"Food value" ya mahindi hailingani na ngano, mchele, mtama ama uwele.

Na pia hauwezi kulinganisha na vyakula vya mizizi kama mihogo na viazi.

Kwa wazungu huko, mazao ya mahindi ni chakula cha mifugo kuanzia majani na mbegu zake.

Kabla ulimwengu haujastaarabika, kwao mahindi kilikuwa pia ni chakula cha watumwa.

Tukitaka kusifia milo, basi tuchunguze kwanza ni chakula gani tunachoweza kutoka nacho hadharani na kujikisifia kutumia.

Mi nadhani mtu anayekula wali ama chapati ana gain more energy kuliko anayekula ugali.

Ugali kiuhalisia ni chakula cha chini sana na hakina thamani yoyote katika afya ya binadamu.

Kuna baadhi ya nchi hawaelewi kabisa stori za kitu kinachoitwa ugali na wako strong ki afya!
 
Mungu tunusuru wanaume tumebaki wachache sana, foleni kubwa ya wadada wanasubiri na kuweka odder za chips Yai na kuku ghafla unakuta likidume lipo katikati ya wanawake nalenyewe linasubili chipsi [emoji848]

Mkigongewa wake zenu mnafoka nakati mnayataka wenyewe, mwanaume kula ugali wa dona na samaki wakuchemsha, gonga mihogo mibichi, nazi na karanga wa kutosha sio kula bugger na piza sijui bufee magonjwa hayooo unauwa nguvu zako za kiume

Wanaume tuache kula vya kula vya kike
Leo umeamua kulisema lile kundi kwa walipo Dar 🤣🤣🤣🤣🤣
 
hivi nchi za ulaya wanakula makuku brioler na hizo chips na unakuta ana watoto hata sita, watoto wao wana akili kila siku wanafanya mapinduzi ya kisayans wanatoa wachezaji bora katika kila mchezo wanatoa wanajeshi bora kila leo sisi huku tunakula vyakula vigumu lakini ndo hakuna maendeleo ki michezo kielimu kitechnolijia shida hii imekaaje mku

Mungu tunusuru wanaume tumebaki wachache sana, foleni kubwa ya wadada wanasubiri na kuweka odder za chips Yai na kuku ghafla unakuta likidume lipo katikati ya wanawake nalenyewe linasubili chipsi [emoji848]

Mkigongewa wake zenu mnafoka nakati mnayataka wenyewe, mwanaume kula ugali wa dona na samaki wakuchemsha, gonga mihogo mibichi, nazi na karanga wa kutosha sio kula bugger na piza sijui bufee magonjwa hayooo unauwa nguvu zako za kiume

Wanaume tuache kula vya kula vya kike
Kwenye samaki hapana, most of samaki source zake huzijui, wengine wanafugwa na kupewa kemikali zinazowakuza haraka , na kupelekea kesi za kansa kutoisha.
 
Bora boss wangu umesema ukweli heshima kwako mkuu
Ni chakula cha kumfanya mtu ashibe, kililetwa kwetu mhususi sababu hatukuweza mudu milo 3

Ndo maana hutakuta wazungu wanakula ugali.

Wao utawakuta wanatumia

Oats, corn syrups, corn oil, weetabix, corn flakes etc.

Mahindi mengi hulisha wanyama.

Watanzania wengi wanaojisifia kula ugali hawali ugali wa lishe.

Kwa kawaida ugali ni wanga hutakiwi kula mwingi kama hufanyi kazi ngumu

Chips ni nzuri endapo utapika mwenyewe kwa mafuta safi, sio haya mafuta ambayo unakuta yameungua hadi kuwa meusi
 
hivi nchi za ulaya wanakula makuku brioler na hizo chips na unakuta ana watoto hata sita, watoto wao wana akili kila siku wanafanya mapinduzi ya kisayans wanatoa wachezaji bora katika kila mchezo wanatoa wanajeshi bora kila leo sisi huku tunakula vyakula vigumu lakini ndo hakuna maendeleo ki michezo kielimu kitechnolijia shida hii imekaaje mkuu?
Unakutana na mwanaume mtu mzima na midevu yake anamwambia muuza chipsi "mayai yasikauke Sana alafu weka mayonaizi na soseji mbili" naishia kujiuliza hivi huyu akitoka hapa anawezaje kuchakata mbususu kwa mkewe?

Food industry ni moja ya silaha hatari Sana inayomwangamiza mwanaume kimya kimya.
Victor wanyama aliambiwa ugali haua faida yoyote kwenye mwili hasa Kwa mtu wa mazoezi akiwa spurs 😂😂
 
Back
Top Bottom