Mwanaume mzima unakula chipsi kuku unaacha dona na mihogo

Mwanaume mzima unakula chipsi kuku unaacha dona na mihogo

Kawaeleze huu ujinga wako Wasabato au Wapemba wakikuelewa valisha ubongo wako dishi jingine ukamate sawa sawa.

Unazidiwa akili hata na panya anayekula kiini cha hindi na gamba akiacha kapi tu?

Unaelewa kazi ya kiini cha hindi?

Ulishawahi kujiuliza kwanini Wazazi wako walikuwa very bright vichwani mwao na hawakuumwa magonjwa ya ajabu ajabu kama zama hizi?

Hujalazimishwa kula dona kila siku lakini tafiti kwa kina athari za kutokula dona kisha lete majibu.

Watoto wadogo wanakunywa uji wa lishe (mchanganyiko wa ulezi, mtama, mahindi, ngano, uwele, mchele) na wana afya tele, njoo sasa kwa wajuaji wa kisasa watadai ni uchafu kumbe ndiyo chanzo cha kupoteza kinga za afya miilini mwao, kuzeeka mapema na hata kufa mapema.

Mungu hawezi kuumba chakula cha asili kikakuletea tatizo zaidi ya artificial foods na chemical drinks za viwandani tutengenezazo sisi Binadamu wenyewe.

Usiidanganye Jamii ukajitafutia laana bure kwa kuangamiza Watu kiafya.
mwisho wa siku kwenye mmeng'enyo unakula vinachakatwa vinakua glucose uwe umekula viazi vitamu,ulaya. muhogo au ugali
 
Tunakula na hakuna kitu utafnya..Tafuta pesa hayo Dona sijui muhogo utakuoa kupata minyoo na ngozi ngumu kama kenge.
 
Kawaeleze huu ujinga wako Wasabato au Wapemba wakikuelewa valisha ubongo wako dishi jingine ukamate sawa sawa.

Unazidiwa akili hata na panya anayekula kiini cha hindi na gamba akiacha kapi tu?

Unaelewa kazi ya kiini cha hindi?

Ulishawahi kujiuliza kwanini Wazazi wako walikuwa very bright vichwani mwao na hawakuumwa magonjwa ya ajabu ajabu kama zama hizi?

Hujalazimishwa kula dona kila siku lakini tafiti kwa kina athari za kutokula dona kisha lete majibu.

Watoto wadogo wanakunywa uji wa lishe (mchanganyiko wa ulezi, mtama, mahindi, ngano, uwele, mchele) na wana afya tele, njoo sasa kwa wajuaji wa kisasa watadai ni uchafu kumbe ndiyo chanzo cha kupoteza kinga za afya miilini mwao, kuzeeka mapema na hata kufa mapema.

Mungu hawezi kuumba chakula cha asili kikakuletea tatizo zaidi ya artificial foods na chemical drinks za viwandani tutengenezazo sisi Binadamu wenyewe.

Usiidanganye Jamii ukajitafutia laana bure kwa kuangamiza Watu kiafya.
Waligundua/vumbua nini kwa kula hayo maugali yenu?
 
Mlo kamili ugali unasehemu ndogo sana , na ni uwezo tu lakini mtama mweupe, muhogo, mchele ni nafaka bora kabisa kuliko mahindi, mboga za majani ule kwa wingi, tafuna nuts yaani karanga na korosho, kunywa maziwa mgando, matunda kwa wingi, fanya mazoezi walau mara tatu kwa wiki kwa range ya saa nzima kila siku ili kuongeza pumzi, hakikisha unakua out of stress, achana na punyeto, dhibiti uzito wa mwili wako, ujitahidi kunywa maji ya kutosha, hakikisha unatafuna tangawizi kila upatapo nafasi ili kubalance blood suger na msukumo wa damu uwe imara, hapo mwili wako utakua safi sehemu ya karibu usipande bajaji au bodaboda tembea ili kuimarisha misuli mbalimbali katika mwili, angalia chakula unachokula usiungie kiwango kikubwa cha mafuta unaweza either kufanya mchemsho au kuchoma au kuoka, vyakula vyako. Mwili utakua safi
 
Dhana ya nguvu za kiume watu wengi hua hawaielewi, wanadhani tofauti, lakini uhalisia inahusisha afya bora ya mwili wako kiujumla hivo unapokua na afya dhaifu hizo nguvu sahau kuzipata,
 
Unakutana na mwanaume mtu mzima na midevu yake anamwambia muuza chipsi "mayai yasikauke Sana alafu weka mayonaizi na soseji mbili" naishia kujiuliza hivi huyu akitoka hapa anawezaje kuchakata mbususu kwa mkewe?

Food industry ni moja ya silaha hatari Sana inayomwangamiza mwanaume kimya kimya.
Chips haina tatizo boss....
 
Jaribu kukamua kiwango cha mafuta unayoingiza mwilini kupitia huo upumbavu unaosema kisha uje unishukuru hapa JF.

Pesa yako usipangiwe hata kushauriwa?

Huna tofauti na Me wajinga watakao kulelewa na Mashugamami au kuhalalisha ushoga kisa tu democracy.

Acha usomi uko ulaya wanakula kila kukicha na wanafaction vizur ninyi mbaulimbukeni wa usomi
 
Kwamba hapa Watanzania wanajisifia kufanya mapenzi tu duniani.
 
Mlo kamili ugali unasehemu ndogo sana , na ni uwezo tu lakini mtama mweupe, muhogo, mchele ni nafaka bora kabisa kuliko mahindi, mboga za majani ule kwa wingi, tafuna nuts yaani karanga na korosho, kunywa maziwa mgando, matunda kwa wingi, fanya mazoezi walau mara tatu kwa wiki kwa range ya saa nzima kila siku ili kuongeza pumzi, hakikisha unakua out of stress, achana na punyeto, dhibiti uzito wa mwili wako, ujitahidi kunywa maji ya kutosha, hakikisha unatafuna tangawizi kila upatapo nafasi ili kubalance blood suger na msukumo wa damu uwe imara, hapo mwili wako utakua safi sehemu ya karibu usipande bajaji au bodaboda tembea ili kuimarisha misuli mbalimbali katika mwili, angalia chakula unachokula usiungie kiwango kikubwa cha mafuta unaweza either kufanya mchemsho au kuchoma au kuoka, vyakula vyako. Mwili utakua safi
Watanzania wanapenda kula ugali mkubwa na mchuzi, afu wanajisifia
 
Mungu tunusuru wanaume tumebaki wachache sana, foleni kubwa ya wadada wanasubiri na kuweka odder za chips Yai na kuku ghafla unakuta likidume lipo katikati ya wanawake na lenyewe linasubili chipsi [emoji848].

Mkigongewa wake zenu mnafoka nakati mnayataka wenyewe, mwanaume kula ugali wa dona na samaki wakuchemsha, gonga mihogo mibichi, nazi na karanga wa kutosha sio kula bugger na piza sijui bufee magonjwa hayooo unauwa nguvu zako za kiume.

Wanaume tuache kula vya kula vya kike.
Katika foleni ya wanawake wanaoagiza Chips,na mwanaume naye,na mimi niwekee chips mayai na mayonnaise...
 
Attachments

  • Chips.jpg
    Chips.jpg
    4.3 KB · Views: 4
Matunda si chakula cha kuleta nguvu za mwilini zaidi ya kujenga hamu ya kula, kutakatisha ngozi na kulainisha choo tu, muwe mnaelewa mnaposhauriwa.

Kujenga hamu ya kula
Kutakatisha ngozi
Na kulainisha choo tu SAWA MSHAURI
 
Ndio maana wanavumbua vitu vingi na wana msaada duniani.

Sisi wanatulisha vyakula vya wanyama, tunakuwa hatuna msaada

Mtu unakula ugali na maharagwe unakazi ya kujamba jamba utawaza saangapi kufumbua jambo creativity itatoka wapi hawa wabongo wana ulimbukeni wa kusoma mtu akifika degree ya sayansi anajiona kamaliza kila kitu

Chakula cha wanga hakiitajiki sana mwilini seme ni umasikini sisi waafrika wengi tunakula hili tusife njaa tu hila sio kingine
 
Acha uwongo, moja ya kazi ya viini vya mahindi ni uimarishaji wa nyezo za kumbukumbu katika ubongo (Human beings memory neurons).

Magamba ya mahindi ni miongoni mwa fibres zinazokurahisishia uchakataji wa chakula na kupata taka mwili (haja kubwa)

Sasa ukishakoboa mahindi tumbo lako linaenda kumeng'enya nini katika sembe?

Penda kujifunza upate maarifa siyo kudanganya Watu hapa kwa stori zako za vijiweni...amka uanze sasa hujachelewa.
Hukusoma ukanielewa!

Mimi nimeongelea "value" compared na vyakula vingine mfano ngano, mchele na vyakula vya mizizi vyenye fibre lukuki nk nk.

Nani alikudanganya kula matakataka (pumba) ndiyo ku gain fibre?

Nikisema ulisoma bila ya kuelimika utasema nimekutusi?

Hii dibate ya kudharau vyakula visivyo vya ugali(mahindi),nilidhani inatoka kwa walala hoi kutetea umasikini wao wa vipato!

Kumbe nimekuja kugundua kuwa dhana hii saazingine inatoka kwa wasomi vihiyo!

Mahindi yangelikuwa na sifa za maana kiafya, yangelikuwa ni "chakula dhahabu" kuliwa Ulaya na Amerika kote yanakostawi kwa wingi sana, lakini ni chakula cha nguruwe.

Ulishasikia wanatia hata mdomoni, kwa nini?
 
Back
Top Bottom