Mlo kamili ugali unasehemu ndogo sana , na ni uwezo tu lakini mtama mweupe, muhogo, mchele ni nafaka bora kabisa kuliko mahindi, mboga za majani ule kwa wingi, tafuna nuts yaani karanga na korosho, kunywa maziwa mgando, matunda kwa wingi, fanya mazoezi walau mara tatu kwa wiki kwa range ya saa nzima kila siku ili kuongeza pumzi, hakikisha unakua out of stress, achana na punyeto, dhibiti uzito wa mwili wako, ujitahidi kunywa maji ya kutosha, hakikisha unatafuna tangawizi kila upatapo nafasi ili kubalance blood suger na msukumo wa damu uwe imara, hapo mwili wako utakua safi sehemu ya karibu usipande bajaji au bodaboda tembea ili kuimarisha misuli mbalimbali katika mwili, angalia chakula unachokula usiungie kiwango kikubwa cha mafuta unaweza either kufanya mchemsho au kuchoma au kuoka, vyakula vyako. Mwili utakua safi