Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Ni chakula cha kumfanya mtu ashibe, kililetwa kwetu mhususi sababu hatukuweza mudu milo 3
Ndo maana hutakuta wazungu wanakula ugali.
Wao utawakuta wanatumia
Oats, corn syrups, corn oil, weetabix, corn flakes etc.
Mahindi mengi hulisha wanyama.
Watanzania wengi wanaojisifia kula ugali hawali ugali wa lishe.
Kwa kawaida ugali ni wanga hutakiwi kula mwingi kama hufanyi kazi ngumu
Chips ni nzuri endapo utapika mwenyewe kwa mafuta safi, sio haya mafuta ambayo unakuta yameungua hadi kuwa meusi
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Unakutana na mwanaume mtu mzima na midevu yake anamwambia muuza chipsi "mayai yasikauke Sana alafu weka mayonaizi na soseji mbili" naishia kujiuliza hivi huyu akitoka hapa anawezaje kuchakata mbususu kwa mkewe?
Food industry ni moja ya silaha hatari Sana inayomwangamiza mwanaume kimya kimya.
Wale wazungu hawawez kumkojoza mwanamke vzr kama sisi blackmamba, ndio maana wadada wengi wa kizungu huja afrika na wengine wanakuja kwetu Tanzania kuolewa na wamasai kufata mkunyenge mkubwa ikizama anakojoa, this is why rasman wa Jamaica almost wote wamebebwa na wadada wa kizungu maana wana dick kubwa kuliko wengine Dunianihivi nchi za ulaya wanakula makuku brioler na hizo chips na unakuta ana watoto hata sita, watoto wao wana akili kila siku wanafanya mapinduzi ya kisayans wanatoa wachezaji bora katika kila mchezo wanatoa wanajeshi bora kila leo sisi huku tunakula vyakula vigumu lakini ndo hakuna maendeleo ki michezo kielimu kitechnolijia shida hii imekaaje mkuu?
Unajuaje kuwa Wayne Rooney hachapiwi Mke tokana na ukosefu wa nguvu za kiume?Mkuu Kuna watu hawali hivyo vitu ulivotaja sijui Dona na kadha wa kadha ulivotaja apo juu na wanaishi Bomba tu mfano Wayne Rooney
Matunda si chakula cha kuleta nguvu za mwilini zaidi ya kujenga hamu ya kula, kutakatisha ngozi na kulainisha choo tu, muwe mnaelewa mnaposhauriwa.Me naona matunda muhimu sana kama unaweza yapata mda wote
Dona miogo isikuogopeshe kutokula
.Kuna wanaume tutajikataa hapa anyway mara moja moja siyo mbaya.
Ndiyo uzuzu wenyewe huo, hawatumii sababu si chakula chao asilia, sasa we bagger, pizza na chipsi unaingiza nini mwilini zaidi ya upuuzi mtupu?Tafuta furaha yako kwanza.
maisha yetu madogo na yamejaa taabu. kama chips ni tamu kwanini usile.
Somo la chakula ni primary. kuna nchi nyingi hawatumii ugali so wao inakuwaje?
Jaribu kukamua kiwango cha mafuta unayoingiza mwilini kupitia huo upumbavu unaosema kisha uje unishukuru hapa JF.Pesa ya kwangu tuumbo la kwangu bado unipangie cha kula kweli? Chips zege na kuku inaondoa uanaume wapi? Au ni mtazamo wako
Ujuaji mwiiingi kumbe PUMBA.Maisha ya kuona Kula Ugali, mihogo na Vyakula vingine vigumugumu ndio kuwa na miguvu ni mabaya Sana.
Tatizo ni umaskini tu ila sio Vyakula vya kujisifu.
Unashiba kabisaaa?Kwani tajir kuna ubaya gani mwanaume akila kiepe zege na kuku choma nusu ?
Life is too short. Kula kitu roho inapenda maana safari muda wowote.Mungu tunusuru wanaume tumebaki wachache sana, foleni kubwa ya wadada wanasubiri na kuweka odder za chips Yai na kuku ghafla unakuta likidume lipo katikati ya wanawake na lenyewe linasubili chipsi [emoji848].
Mkigongewa wake zenu mnafoka nakati mnayataka wenyewe, mwanaume kula ugali wa dona na samaki wakuchemsha, gonga mihogo mibichi, nazi na karanga wa kutosha sio kula bugger na piza sijui bufee magonjwa hayooo unauwa nguvu zako za kiume.
Wanaume tuache kula vya kula vya kike.
Kawaeleze huu ujinga wako Wasabato au Wapemba wakikuelewa valisha ubongo wako dishi jingine ukamate sawa sawa.Mkuu tulizaliwa tukakaririshwa hivyo sikatai.
Lakini tuliposoma na kuelimika, tukaja gundua kuwa kumbe mahindi (maize meal), yawe ni unga wa sembe ama dona ndiyo chakula chenye thamani ya chini kabisa kuliko vyote katika vyakula vya mazao ya nafaka!
"Food value" ya mahindi hailingani na ngano, mchele, mtama ama uwele.
Na pia hauwezi kulinganisha na vyakula vya mizizi kama mihogo na viazi.
Kwa wazungu huko, mazao ya mahindi ni chakula cha mifugo kuanzia majani na mbegu zake.
Kabla ulimwengu haujastaarabika, kwao mahindi kilikuwa pia ni chakula cha watumwa.
Tukitaka kusifia milo, basi tuchunguze kwanza ni chakula gani tunachoweza kutoka nacho hadharani na kujikisifia kutumia.
Mi nadhani mtu anayekula wali ama chapati ana gain more energy kuliko anayekula ugali.
Ugali kiuhalisia ni chakula cha chini sana na hakina thamani yoyote katika afya ya binadamu.
Kuna baadhi ya nchi hawaelewi kabisa stori za kitu kinachoitwa ugali na wako strong ki afya!
Acha uwongo, moja ya kazi ya viini vya mahindi ni uimarishaji wa nyezo za kumbukumbu katika ubongo (Human beings memory neurons).Mkuu tulizaliwa tukakaririshwa hivyo sikatai.
Lakini tuliposoma na kuelimika, tukaja gundua kuwa kumbe mahindi (maize meal), yawe ni unga wa sembe ama dona ndiyo chakula chenye thamani ya chini kabisa kuliko vyote katika vyakula vya mazao ya nafaka!
"Food value" ya mahindi hailingani na ngano, mchele, mtama ama uwele.
Na pia hauwezi kulinganisha na vyakula vya mizizi kama mihogo na viazi.
Kwa wazungu huko, mazao ya mahindi ni chakula cha mifugo kuanzia majani na mbegu zake.
Kabla ulimwengu haujastaarabika, kwao mahindi kilikuwa pia ni chakula cha watumwa.
Tukitaka kusifia milo, basi tuchunguze kwanza ni chakula gani tunachoweza kutoka nacho hadharani na kujikisifia kutumia.
Mi nadhani mtu anayekula wali ama chapati ana gain more energy kuliko anayekula ugali.
Ugali kiuhalisia ni chakula cha chini sana na hakina thamani yoyote katika afya ya binadamu.
Kuna baadhi ya nchi hawaelewi kabisa stori za kitu kinachoitwa ugali na wako strong ki afya!
Shida ni ubaguzi wa rangi, miundo mbinu ya uwezeshaji wa teknolojia maana Wazungu walishachota mali barani Africa enzi za ukoloni na hata sasa hivi wana Neocolonialism inayoendelea kuitafuna Africa ili isijikwamue kiuchumi.hivi nchi za ulaya wanakula makuku brioler na hizo chips na unakuta ana watoto hata sita, watoto wao wana akili kila siku wanafanya mapinduzi ya kisayans wanatoa wachezaji bora katika kila mchezo wanatoa wanajeshi bora kila leo sisi huku tunakula vyakula vigumu lakini ndo hakuna maendeleo ki michezo kielimu kitechnolijia shida hii imekaaje mkuu?
Bro kwani kuna kitabu chochote cha dini au andiko lolote lile linaloonesha vyakula vya kike na vya kiume.Mungu tunusuru wanaume tumebaki wachache sana, foleni kubwa ya wadada wanasubiri na kuweka odder za chips Yai na kuku ghafla unakuta likidume lipo katikati ya wanawake na lenyewe linasubili chipsi [emoji848].
Mkigongewa wake zenu mnafoka nakati mnayataka wenyewe, mwanaume kula ugali wa dona na samaki wakuchemsha, gonga mihogo mibichi, nazi na karanga wa kutosha sio kula bugger na piza sijui bufee magonjwa hayooo unauwa nguvu zako za kiume.
Wanaume tuache kula vya kula vya kike.
kwahiyo we have nothing to show off except sex?? as black people??Wale wazungu hawawez kumkojoza mwanamke vzr kama sisi blackmamba, ndio maana wadada wengi wa kizungu huja afrika na wengine wanakuja kwetu Tanzania kuolewa na wamasai kufata mkunyenge mkubwa ikizama anakojoa, this is why rasman wa Jamaica almost wote wamebebwa na wadada wa kizungu maana wana dick kubwa kuliko wengine Duniani
kwahiyo mtoa mada na vyakula ?Shida ni ubaguzi wa rangi, miundo mbinu ya uwezeshaji wa teknolojia maana Wazungu walishachota mali barani Africa enzi za ukoloni na hata sasa hivi wana Neocolonialism inayoendelea kuitafuna Africa ili isijikwamue kiuchumi.
kuchapiwa ipo tuu unataka kusema kwamba wote wanaochapiwa hawawezi mchezo??Unajuaje kuwa Wayne Rooney hachapiwi Mke tokana na ukosefu wa nguvu za kiume?
Mmebakiwa kuiga tu Mtu anavyoshusha kimba kwenye sinki.
Je wajua chips ina nguvu kuliko ugali?Mungu tunusuru wanaume tumebaki wachache sana, foleni kubwa ya wadada wanasubiri na kuweka odder za chips Yai na kuku ghafla unakuta likidume lipo katikati ya wanawake na lenyewe linasubili chipsi [emoji848].