Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Ni chakula cha kumfanya mtu ashibe, kililetwa kwetu mhususi sababu hatukuweza mudu milo 3
Ndo maana hutakuta wazungu wanakula ugali.
Wao utawakuta wanatumia
Oats, corn syrups, corn oil, weetabix, corn flakes etc.
Mahindi mengi hulisha wanyama.
Watanzania wengi wanaojisifia kula ugali hawali ugali wa lishe.
Kwa kawaida ugali ni wanga hutakiwi kula mwingi kama hufanyi kazi ngumu
Chips ni nzuri endapo utapika mwenyewe kwa mafuta safi, sio haya mafuta ambayo unakuta yameungua hadi kuwa meusi
Bora umewapa elimu tajiri