Mwanaume mzima unakula chipsi kuku unaacha dona na mihogo

mwisho wa siku kwenye mmeng'enyo unakula vinachakatwa vinakua glucose uwe umekula viazi vitamu,ulaya. muhogo au ugali
 
Tunakula na hakuna kitu utafnya..Tafuta pesa hayo Dona sijui muhogo utakuoa kupata minyoo na ngozi ngumu kama kenge.
 
Waligundua/vumbua nini kwa kula hayo maugali yenu?
 
Mlo kamili ugali unasehemu ndogo sana , na ni uwezo tu lakini mtama mweupe, muhogo, mchele ni nafaka bora kabisa kuliko mahindi, mboga za majani ule kwa wingi, tafuna nuts yaani karanga na korosho, kunywa maziwa mgando, matunda kwa wingi, fanya mazoezi walau mara tatu kwa wiki kwa range ya saa nzima kila siku ili kuongeza pumzi, hakikisha unakua out of stress, achana na punyeto, dhibiti uzito wa mwili wako, ujitahidi kunywa maji ya kutosha, hakikisha unatafuna tangawizi kila upatapo nafasi ili kubalance blood suger na msukumo wa damu uwe imara, hapo mwili wako utakua safi sehemu ya karibu usipande bajaji au bodaboda tembea ili kuimarisha misuli mbalimbali katika mwili, angalia chakula unachokula usiungie kiwango kikubwa cha mafuta unaweza either kufanya mchemsho au kuchoma au kuoka, vyakula vyako. Mwili utakua safi
 
Dhana ya nguvu za kiume watu wengi hua hawaielewi, wanadhani tofauti, lakini uhalisia inahusisha afya bora ya mwili wako kiujumla hivo unapokua na afya dhaifu hizo nguvu sahau kuzipata,
 
Chips haina tatizo boss....
 

Acha usomi uko ulaya wanakula kila kukicha na wanafaction vizur ninyi mbaulimbukeni wa usomi
 
Unashiba kabisaaa?

Lete mapipa na mapipa ya chipsi nitaishia kujaza tu tumbo, baada ya saa 1 nitahisi njaa hatari.... Lada mashine yako itakuwa ina tatizo la umeng'enyaji wa msosi [emoji4]

Nashiba kabisa mpka naacha
 
Kwamba hapa Watanzania wanajisifia kufanya mapenzi tu duniani.
 
Watanzania wanapenda kula ugali mkubwa na mchuzi, afu wanajisifia
 
Katika foleni ya wanawake wanaoagiza Chips,na mwanaume naye,na mimi niwekee chips mayai na mayonnaise...
 

Attachments

  • Chips.jpg
    4.3 KB · Views: 4
Matunda si chakula cha kuleta nguvu za mwilini zaidi ya kujenga hamu ya kula, kutakatisha ngozi na kulainisha choo tu, muwe mnaelewa mnaposhauriwa.

Kujenga hamu ya kula
Kutakatisha ngozi
Na kulainisha choo tu SAWA MSHAURI
 
Ndio maana wanavumbua vitu vingi na wana msaada duniani.

Sisi wanatulisha vyakula vya wanyama, tunakuwa hatuna msaada

Mtu unakula ugali na maharagwe unakazi ya kujamba jamba utawaza saangapi kufumbua jambo creativity itatoka wapi hawa wabongo wana ulimbukeni wa kusoma mtu akifika degree ya sayansi anajiona kamaliza kila kitu

Chakula cha wanga hakiitajiki sana mwilini seme ni umasikini sisi waafrika wengi tunakula hili tusife njaa tu hila sio kingine
 
Hukusoma ukanielewa!

Mimi nimeongelea "value" compared na vyakula vingine mfano ngano, mchele na vyakula vya mizizi vyenye fibre lukuki nk nk.

Nani alikudanganya kula matakataka (pumba) ndiyo ku gain fibre?

Nikisema ulisoma bila ya kuelimika utasema nimekutusi?

Hii dibate ya kudharau vyakula visivyo vya ugali(mahindi),nilidhani inatoka kwa walala hoi kutetea umasikini wao wa vipato!

Kumbe nimekuja kugundua kuwa dhana hii saazingine inatoka kwa wasomi vihiyo!

Mahindi yangelikuwa na sifa za maana kiafya, yangelikuwa ni "chakula dhahabu" kuliwa Ulaya na Amerika kote yanakostawi kwa wingi sana, lakini ni chakula cha nguruwe.

Ulishasikia wanatia hata mdomoni, kwa nini?
 
Kati ya chips kuku na Dona na mihogo, Kipi ni chakula chenye nguvu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…