Mwanaume mzima unakula chipsi kuku unaacha dona na mihogo

uko vizuri boss, nimeimagine kwa mwezi unawaachia zaidi ya 50k, hiyo ni hela yangu ya kula miezi zaidi ya 6 Mimi jobless wa kimataifa.

Wewe tena unazidi kukaa ndani toka njee ujiuze watu wajue umesomea nini uzipo jiuza sokoni nan atajua unahitaji kazi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mimi si unaniona hapa nafungukaga napataga ofa za kula hotel [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sijasoma kabisa boss, we nipe hata kazi ya kudeki vyoo tu.
 
Wewe waache Kuna mtu alikuwa anakula chipsi na mbona anapiga shoo fresh chips sio solution
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…